mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Asante sana brotherMwanangu kitambo sana sijakuona kumbe upo au ulijipa likizo brother karibu sana JF tena
Asante sana brotherMwanangu kitambo sana sijakuona kumbe upo au ulijipa likizo brother karibu sana JF tena
Kiufupi huku ni kama ulivyosema njoo piga soga, soma umbea punguza mawazo halafu kapambane kivyako mtani. Asilimia 90 ya watu tunaishi maisha ya kufikirika.Naona kila mtu jf anafuatwa piemu ila wafuataji hawaonekani.
PM nilizofata watu ni enzi hizo life limenichapa 22-23 yahn msoto mkali sio powa.(kuna uzi niliweka kuhusu ujobles) kuna member wanne wanajibraggy wana maisha mazuri na wanaroho nzuri basi nikajizalilisha mule PM fulu kijielezea hahaha umaskini nyoko, Unajua nini kilitokea wote wanne 1,2,3,4 walilaza mshale na ushauri nasaha kibao hakuna cha msaada from there nikajifunza life sio lelemama ukiwa mtoto wa kiume. My self naamini JF njoo piga soga soma umbea rudi mtaani kapambane ukiwa na shida humu hakuna msaada utapata.
Aluta continyua
Huyu ILA ni miongoni mwa wasiofaa kujibiwa pm ni mkongwe na ana post chache ila kwa post zake sidhani hata km ana habari na pm yenyewe
Kwani uko wapi 😃Nimeifunga kitambo sana maana wageni ndo walikua wanakuja kwa wingi na maswali yao ya uko wapi
Mtu kama pompoma kana mdomo mchafu balaa, muda wote kutukana tuWatu wa matusi ni kuwalamba tu block
🚮🚮Binafsi zangu ni:
1. ID mpya
2. Majivuno [mimi nina hiki, mimi fulani n.k]
3. Matusi na dharau.....
4. Id ya zamani lakini ina comments chache......
Kwani uko wapi 😃