In JF, what is your red flag?: Red flag gani ambayo ukiiona kwa mwanachama wa humu hautajibu hata PM yake?

In JF, what is your red flag?: Red flag gani ambayo ukiiona kwa mwanachama wa humu hautajibu hata PM yake?

Naona kila mtu jf anafuatwa piemu ila wafuataji hawaonekani.

PM nilizofata watu ni enzi hizo life limenichapa 22-23 yahn msoto mkali sio powa.(kuna uzi niliweka kuhusu ujobles) kuna member wanne wanajibraggy wana maisha mazuri na wanaroho nzuri basi nikajizalilisha mule PM fulu kijielezea hahaha umaskini nyoko, Unajua nini kilitokea wote wanne 1,2,3,4 walilaza mshale na ushauri nasaha kibao hakuna cha msaada from there nikajifunza life sio lelemama ukiwa mtoto wa kiume. My self naamini JF njoo piga soga soma umbea rudi mtaani kapambane ukiwa na shida humu hakuna msaada utapata.

Aluta continyua
 
-Namna unavyowatendea wengine ambao hawajakukosea chochote, hii siitumii kwa JF tu hata kwingine. Mimi hata ukinitendea vibaya fresh tu sababu mwenyewe naweza kujitetea.

-Kingine, Kwa JF nikigundua una multiple ID’s, Nikigundua……….maana naweza nisigundue. (Hapa kuna exception ya babe wangu maghayo ze mbuzi 😅)

-Sijibu PM ya member mpya au wa muda mfupi(Hii kuepusha mambo ya kukutana na mvinyo wa zamani, chupa mpya)
 
Ndugu msomaji PM yako mimi nitaisoma.
Huwa sijibu tu zile pm na kuombwa 10k wakat nikikufanyia due deligence nakuona unashinda kwenye jukwaa la ku bet. Hapo sahau
 
Back
Top Bottom