Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Kuwa nusu albino ni big red flag 🦅kuita wengine nusu albino ni redflag
Kuwa nusu albino ni big red flag 🦅kuita wengine nusu albino ni redflag
Kwamba mtu anakusoma tu jukwaani kisha anakimbia pm kukujulisha amevutiwa na wewe !PM ikianza tuu na "nimevutiwa na wewe natamani kukujua zaidi" basi najua hamna kitu hapo. Kavutiwa na umbea mtoto wa kiume kweli ni red flag kabisaaa.
Si ndio gia wanazoingilia PM, utaona nimevutiwa na wewe na michango yako natamani kukujua zaidi.Kwamba mtu anakusoma tu jukwaani kisha anakimbia pm kukujulisha amevutiwa na wewe !
Labda upo attractive saana.....
Hiyo level nilisha ivuka tayari.Haujui kupata like ya katoto kanakolipa wewe.... every button of your gadget you touch leads you into her PM....
Acha uogaSijawahi kutumia hiyo PM wala sitarajii kuitumia hiyo PM in future,
I trust no one.
Sio issue ya uoga,sijawahi kua muoga,Acha uoga
Exactly 💯 upo kama mimiId inayopenda kunyanyasa wengine sio tu kujibu pm hata comments zao naziruka.
Wanazingua sana yaaniLabda kama kuna biashara au deal, vinginevyo sihangaik na pm ya mtu. Mtu anahoji maswali kama interview 😒