The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kwahiyo hujawahi kujibu pm yoyote tangu umejiunga jf?Sio issue ya uoga,sijawahi kua muoga,
Issue ni kwamba i don't have any issue with anyone itakayofanya eti niongee nae pm,and i dont think if i need anyone mpaka tufikie issue ya pm,
That will never happen to me.
Numbisa una madoido....Nimeifunga kitambo sana maana wageni ndo walikua wanakuja kwa wingi na maswali yao ya uko wapi
Mi sijasema kwamba nimewahi kuchat nae, nilikuwa tu namuuliza😃😂Aah, Jamani....hizi kesi mchana mchana hapana.Mi kiukweli sijawahi chati naye inbox....kama mliingia pm bas hamkunitaarifu mshenga🥴
mzee wa upinde upo?Sioni red flag yoyote, wewe ukiwa humu kuwa huru. Usitumie sana akili sehemu isiyohitajika
Sasa kama hatuna cha kupost ndio mutuchunie pm. Sisi wengine kazi yetu kusoma na kulike1.ID mpya
2. ID kongwe yenye posts chache
Niliwahi kuchat na wewe PM 2022 that was my first time ever,Kwahiyo hujawahi kujibu pm yoyote tangu umejiunga jf?
Wewe ndiye uliyenifundisha back 2022,
Afadhali umekumbuka maana nilishangaa nikasema ukute naanza kupoteza kumbukumbu😆Wewe ndiye uliyenifundisha back 2022,
Nilikua nimesha sahau,that was my first and last ever!
U are the only one i trusted you at that time,Afadhali umekumbuka maana nilishangaa nikasema ukute naanza kupoteza kumbukumbu😆
Yes nakumbuka. Kiukweli PM sio nzuri, inahitaji uaminifu mkubwa.U are the only one i trusted you at that time,
Kama unakumbuka nilikwambia kua,hii ni mara yangu ya kwanza kuchat pm
🤣🤣🤣🤣 kwanini?Mtu akiniulizia mambo ya pombe now, namlamba block shindii😊