Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Matusi na dharau
Id mpya
Sipendi wanafiki wachafu wa roho
Id mpya
Sipendi wanafiki wachafu wa roho
Mtu akiniulizia mambo ya pombe now, namlamba block shindii😊Hakuna.
Anadanganya umaKwanini mkuu!
Famba tuKuwa nusu albino ni big red flag 🦅
Sana,yaan sanaId inayopenda kunyanyasa wengine sio tu kujibu pm hata comments zao naziruka.
Kumbe Kuna watu mnanyanyaswa hapa Jf na mmekaa kimya hamsemi 🤣🤣Id inayopenda kunyanyasa wengine sio tu kujibu pm hata comments zao naziruka.
Inachekesha!🤣😂Kumbe Kuna watu mnanyanyaswa hapa Jf na mmekaa kimya hamsemi 🤣🤣
Nifungulie mimi mkuu 🤣 😅Nimeifunga kitambo sana maana wageni ndo walikua wanakuja kwa wingi na maswali yao ya uko wapi
Mda mwingine hata mwenyewe usijiaminiUsimwamini mtu
Then just live your life.
Imeisha hiyo
Pia sio wote wenye hatia huenda jela.Ila Vincenzo Jr alinipa somo kuwa siyo wote wanaokwenda jela wanahatia then nikaendelea kuishi👊
Najiamini mwenyewe maana Sina ndugu mzuri kama mimi....Mda mwingine hata mwenyewe usijiamini
Hakika mkuuPia sio wote wenye hatia huenda jela.
Hello Samahani nimevutiwa na wewe naomba kukujua zaidiPM ikianza tuu na "nimevutiwa na wewe natamani kukujua zaidi" basi najua hamna kitu hapo. Kavutiwa na umbea mtoto wa kiume kweli ni red flag kabisaaa.
Mkuu leo pombe unanywea wapi?Mtu akiniulizia mambo ya pombe now, namlamba block shindii😊
Leo parokia ya mtakatifu mariana bwasheeMkuu leo pombe unanywea wapi?