Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nilikuwepo sana tu. Yule mzee alikuwa mtu wangu sanaSikukuona katika Msiba wa Neurologist wa Jeshi ( JWTZ ) Uncle wangu na Mzanaki Mwenzangu Brigadier Professor Yardon Kohi Mortuary Lugalo na pale Kwake Mbezi Beach.
Naona idadi ya Wanywa Wine Kali za Kirusi mnapungua tu hapo Mbezi Beach akiwemo na yule Gwasu Msuya ( Kaka mkubwa wa aliyekuwa TISS DGIS ) Diwani Athuman Msuya.
Kama hukuwepo Msibani umekosa Bia na Wine za bure kwani kulikuwa na Bia na Pombe nyingi mno za Kumuenzi Mwanachama Mzee Kohi ambaye Leo anatarajiwa Kuzikwa huko Kwao Busegwe Wilayani Butiama Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )
R.I.P Uncle Kohi.
Usifurahie mwenzako kupatwa na mabayaHapana mkuu, sah God ana kazi nyingi za kufanya. Waacha aendelee kutuandalia makao. Huyu mlozi ndo kashaandikiwa aibu hiyo
Kwahyo Kweli una mdhalilisha mzee bujibuji kwa bia za bureeSikukuona katika Msiba wa Neurologist wa Jeshi ( JWTZ ) Uncle wangu na Mzanaki Mwenzangu Brigadier Professor Yardon Kohi Mortuary Lugalo na pale Kwake Mbezi Beach.
Naona idadi ya Wanywa Wine Kali za Kirusi mnapungua tu hapo Mbezi Beach akiwemo na yule Gwasu Msuya ( Kaka mkubwa wa aliyekuwa TISS DGIS ) Diwani Athuman Msuya.
Kama hukuwepo Msibani umekosa Bia na Wine za bure kwani kulikuwa na Bia na Pombe nyingi mno za Kumuenzi Mwanachama Mzee Kohi ambaye Leo anatarajiwa Kuzikwa huko Kwao Busegwe Wilayani Butiama Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )
R.I.P Uncle Kohi.
Demu wangu Happy ( Mtani wangu wa Kihaya ) nae alikuwepo au?Nilikuwepo sana tu. Yule mzee alikuwa mtu wangu sana
Huyo ni Rafiki yangu, Kaka na ananijua kuliko unavyonijua. 99% ya Ndugu zangu ( hadi Shemeji zangu ) huwa anakuwa nao katika Shida na Raha.Kwahyo Kweli una mdhalilisha mzee bujibuji kwa bia za buree
Mzee bujibuji kumbe Ni mlafi haweZi kujinunulia bia Hadi uje udhalilishwe huku kuwa umepitwa na bia za bureeee@Bujibuji Simba Nyamaume
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Utafumaniwa punde uliwe kiboga.Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie ukuta.
Kwakweli nilijaribu tu kutembea ngazi moja nikashindwa sababu ya kuangalia macho chini, ila cha ajabu nilijikuta namalizia ngazi ya mwisho chini kushuka na nikashuka nikiwa hivo hivo uchi na kuanza kutembea kwenda jengo lingine lililokuwa pembeni yake.
Watu walikuwa tu wengi ila nilijipa ujasiri nikachukua mashine yangu na kuibana kwenye mapaja na kuanza kutembea, nikaenda bafuni na kuoga ila sikumbuki kabisa kama niliweza kuvaa nguo.
Wew mzee wa milaKuna aibu itakukumba. Mwombe Mungu akuepushie mbali aibu inayokunyemelea
Pole sana kwa mkasa uliokukuta. Kwani nguo zako mwanzo ulikuwa umeziweka wapi ?Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie ukuta.
Kwakweli nilijaribu tu kutembea ngazi moja nikashindwa sababu ya kuangalia macho chini, ila cha ajabu nilijikuta namalizia ngazi ya mwisho chini kushuka na nikashuka nikiwa hivo hivo uchi na kuanza kutembea kwenda jengo lingine lililokuwa pembeni yake.
Watu walikuwa tu wengi ila nilijipa ujasiri nikachukua mashine yangu na kuibana kwenye mapaja na kuanza kutembea, nikaenda bafuni na kuoga ila sikumbuki kabisa kama niliweza kuvaa nguo.
Andika wasia safari imeivaKwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie ukuta.
Kwakweli nilijaribu tu kutembea ngazi moja nikashindwa sababu ya kuangalia macho chini, ila cha ajabu nilijikuta namalizia ngazi ya mwisho chini kushuka na nikashuka nikiwa hivo hivo uchi na kuanza kutembea kwenda jengo lingine lililokuwa pembeni yake.
Watu walikuwa tu wengi ila nilijipa ujasiri nikachukua mashine yangu na kuibana kwenye mapaja na kuanza kutembea, nikaenda bafuni na kuoga ila sikumbuki kabisa kama niliweza kuvaa nguo.
Nyoka ni kiashiria cha uadui, vita, mikosi. Kuna kitu ambacho kinakuzuia usiende mbele, umefanya majaribio na jitihada mbalimbali, lakini mwisho wa siku uko palepale. Kuna roho ya kupambana nayo, ndiyo hiyo inayokuzuia.Wew mzee wa mila
Nisaidie na hii ndoto nimeota nasumbiliw na Nyoka mkubwa ambae anaruka upande wangu kila nikimkwepa anajirudh kuja kwangu nikikazan kukwepa bado tuu anajitu /jirusha hadi nkashtuka usingzn
achana na huyo mke wa mtu, utafumaniwa hivi karibuniKwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie ukuta.
Kwakweli nilijaribu tu kutembea ngazi moja nikashindwa sababu ya kuangalia macho chini, ila cha ajabu nilijikuta namalizia ngazi ya mwisho chini kushuka na nikashuka nikiwa hivo hivo uchi na kuanza kutembea kwenda jengo lingine lililokuwa pembeni yake.
Watu walikuwa tu wengi ila nilijipa ujasiri nikachukua mashine yangu na kuibana kwenye mapaja na kuanza kutembea, nikaenda bafuni na kuoga ila sikumbuki kabisa kama niliweza kuvaa nguo.
Atauponza nini mkuu? Funguka ndugu yangu [emoji1787][emoji1787]Kwa degree ya uganga wangu niliyonayo, inaonesha kuwa ndogo iko mashakani. Tena hiyo ya kushuka ngazi huku umekamatilia ukuta, ndo mbaya zaidi. Epuka wake za watu. Pia usikatize kwenye vichochoro ukiwa umelewa chakali. Utauponza
Hahahaa.....wabongo bwana nimenyoosha mikono juuKama ulishika ukuta imekula kwako