Ina maana gani kuota unatembea uchi mbele ya watu?

Sio kweli lazima yatimie, Mungu kamuonyesha kitu kinachoweza kutokea hapo baadaye hivyo anatakiwa achukue hatua hivi sasa ili jambo h
asante kuna mrejesho nimesha uweka kausome utagundua upo sahihi 100
 
kuna tukio la kukuvua nguo linakuja. Hiyo ni signal umepewa.
Aza kuomba maombi ya kukataa kabisa hilo tukio au chochote cha namna hiyo, na utaepushwa, ukipuuza inakula kwako.

Sadaka napokea kwa cash. 😋
 


Huyo dada muuza duka ulikuwa unamjua au laa??
 
Aiseeh
 
Kuna siri nyingi zinazokuhusu zitakuwa wazi.Na zitawekwa wazi na mtu mwenye hadhi.Ila utazikabili na ukweli wote utajulikana.
 
Dah Asante mkuu,nimepita kwenye misukosuko kazini na kwenye maisha kwa ujumla kwa miaka mitatu mfululizo,yani ilikuwa ni bandika bandua ya matatizo,mwaka Jana mwezi wa tisa nikaanza maombi rasmi na kujiunga na kikundi Cha maombezi,nikajitenga na maovu mengi nilikokuwa nimelowea🙏mwaka huu mwezi January nikaanza kuona mabadiliko kiasi hata kazini na maisha kwa ujumla,namshukuru Mungu at least sasa Niko sawa kiasi flani,na maombi nazidisha kwakwel manake nimepitishwa kwenye tanuru la Moto humu duniani bila kosa lolote,kweli mwanadamu mwone kama alivyo tu.
 
Hakika wewe ni kipepeo wa chuma
 
Kwa degree ya uganga wangu niliyonayo, inaonesha kuwa ndogo iko mashakani. Tena hiyo ya kushuka ngazi huku umekamatilia ukuta, ndo mbaya zaidi. Epuka wake za watu. Pia usikatize kwenye vichochoro ukiwa umelewa chakali. Utauponza
Ndogo ndio Nini mkuu?
 
Hilo ni onyo kuwa unaweza kuliwa masega mda wowote, acha mazoea na yule mke wa meneja. Mungu kakufungulia kupitia ndoto.

Jiepushe sana na wake za watu utaumbuka soon. Hizo ngazi ni za hotel na wembamba wake unaashiria kuwa hutaweza kuepuka njemba zitakazokupaka Ray's kwenye masaburi!
 
Mbona tukiota tunaokota hela usiku asubuh tukiamka hatuzioni na mpaka leo hatujawa matajiri uongo tu waafrika ndio unatusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…