Ina maana hamjasikia kwamba Baleke amesaini Yanga?

Wewe kiukwel hapo simba unastahil kuitwa iron lady...nina mashaka hii id ni ya asha baraka
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ aisee nimecheka sanaa...mimi ni mshangazi ila sijafikia ule umri jamani...yule Asha baraka atawezana na mikikimikiki ya humu jukwaani kweli...nitake radhi mr Ivan Stepanov
 
Duuh kwa huu usajili wenu wananchi mnatuumiza sana vichwa wanyama, anyway mtaninyima raha kwenye ligi ila kimataifa mtatuwakilisha vizuri, simba nguvu moja.
 
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ aisee nimecheka sanaa...mimi ni mshangazi ila sijafikia ule umri jamani...yule Asha baraka atawezana na mikikimikiki ya humu jukwaani kweli...nitake radhi mr Ivan Stepanov
Ahahaha basi niwie radhi mkuu wangu, ila wewe ni chuma kwel kwel. Mangungu angejua kuna watu kama nyie huku nafikir angekua serious kidogo na kazi๐Ÿ˜‚
 
Hahahahaha..km sio asha baraka, some ng"itu au k mziwanda, hapendi timu yake isemwe vby
Doo yani ww ni wa kuniita kay mziwanda yule dume jike ambaye hata kunyonyesha hajawahi?.niache aisee...
Halafu ww kule selfika unajifanya umenisahau ee navyotupia picha zangu na unalike...au nimekufananisha....?
 
Bwana tena๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„ si nimeona umemuita iron lady wa thimba nguvu moya๐Ÿ˜ Kalpana
Bwana ni kitenzi kishirikishi...hata sisi huwa tunaambizana wadada utasikia "bwana twende tunachelewa.."au na wewe bwana...sema sijui kama kwny kiswahili ni sawa...
 
Doo yani ww ni wa kuniita kay mziwanda yule dume jike ambaye hata kunyonyesha hajawahi?.niache aisee...
Halafu ww kule selfika unajifanya umenisahau ee navyotupia picha zangu na unalike...au nimekufananisha....?
Hahahahaha..kay mziwanda mnyama mwenzio yule simba damu...kule hujawahi selfika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ