Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

Mkuu; Si umesema hapo juu kwamba huyo ni makamu......haramu? Sasa unamtafuta haramu ili iweje? Anakuhusu nini na uharamu wake?
Watu wanatafuta kilicho Halali na hususan walichokihalalisha wenyewe.

Mtu Kama huyo anawezaje tu kujiuzulu namna ile halafu apotee na watu tusijue chochote kuhusu alipo?
Sasa si unaona ameweza?
Hatuna kabisa waandishi wa habari walio na ujasiri wa kufuatilia taarifa za huyo jamaa?

This is so weird!

Nyie hamuoni kuwa hilo ni jambo la ajabu?
Cha ajabu ni kipi hapo mkuu? Kumbuka Wahenga walisemaga: "Ajaye pasi na hodi huondoka pasi na kuaga." -si unaona imetimia?.
Yaani imeshindikana kabisa kuwauliza hao waliopo kwenye hiyo serikali haramu alipo huyo jamaa?
Nani mwenye Ubavu au Uthubutu huo? Hebu anza wewe.
Only in Tanzania where this kind of foolishness exists….

Sickening.
This is just an order of the day. Stay calm gentleman -enjoy ur day.
 
..Naibu Raisi wa Nchi anapotéa Mwezi nzima haonekani baada ya kujiuzulu, na Wananchi wako Kimya TU! Tumerogwa....😡😡😡
Hatujarogwa chochote au popote wala na yeyote. Mbona hili ni "game" ambalo lipo na tumeanza kulizoea sasa? Sisi ngurumbili ndo tunapiga kelele ovyo lakini wenyewe wanaolijua na kulicheza Game hilo wanalielewa, wanafahamiana na wametulia tuliii.
 

Ni msala mkubwa sana
 
Hakuna chombo cha habari kilichojaribu hata kumhoji Nchimbi Ili aeleze hasa nini kilichojiri na kupata maoni yake.

Hatuna media hii nchi

Pascal Mayalla
 
CNN wapo wapi? Bbc kitengo cha utafiti wamejificha?
Hata hili mnataka mpaka Larry Madowo ndio aje kuwafanyia coverage kama ya october 29?

Halafu ndio Gershon ataibuka kwamba hawakuulizwa.

Mimi nashauri media za Tanzania zibanane na Gereshoni kwanza ndio mtu wa kuwapa taarifa Nchimbi yuko wapi?
 
Kwani familia yake na ndugu zake wametoa taarifa ya kupotea kwake ? Achaneni na hao wapumbavu wa ccm ....yanayo wakuta wameyalea wenyewe.
 
Watu Wanashauku ya kujua alipo, ila mazingira siyo rafiki kabisa, kitu serikali ilichofanikiwa hadi hivi sasa ni ile hali ya kuinstill fear kwenye mioyo ya watu, wengine wanashauku ila udhubutu ni kipengele , angalau oktoba 29 watu walijaribu ila kuhoji ni kipengele
 
Kuna kitu cha kujifunza hata kwa Samia mwenyewe siku akitoka madarakani na watu wake wa karibu. Hapo ndipo atakapotambua kutesa ni kwa zamu, na CCM imejaa machawa na wanafiki tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…