Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

Waandishi wenyewe hawa akina bumunda Balile? Hovyo kabisa.
 
Gazeti lako likiandika habari yoyote ya kumsaka Nchimbi linafungiwa.
 
Kwani Tanzania kuna investigative journalism?
 
Ni zipi pande mbili zinazokinzana hivyo zihusike kwenye Maridhiano na Maridhiano yawe ni kwa lipi?
Wao wenyewe wote wanajua tatizo lipo wapi !
Kwani wewe unayeuliza hujui tatizo ni nini ?
Kama hujui basi na wewe ndio wale wale ambao hawautaki kuukubali Ukweli !
Hakuna watu wanaokosana kisha wasijue tatizo ni nini !
Ukiona wanaruka ruka kama maharage yanayochemka eti hawajui wanagombania nini ujue bado hawajataka kuelewana 🤣😁 !
 
Wao wenyewe wote wanajua tatizo lipo wapi !
Wao ndo akina nani mkuu? Mbona sisi nasi ni Watanzania pia. Haiwezekani kulazimisha Maridhiano bali inawezekana kutafuta namna sahihi isiyo na vimtego-mtego.
Kwani wewe unayeuliza hujui tatizo ni nini ?
Ukweli silijui tatizo ila naona mtifuano,mikwara na timbwili baas.
Hapa naReserve comments zangu.
 
Labda wameambiwa yupo "mji mwema".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…