Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

Wenzetu freedom of the press is guaranteed ndani ya katiba yao, sisi hatuna!
P
Kuwa guaranteed kwenye katiba si hoja!

Mangapi hapa Tanzania yapo guaranteed kwenye katiba lakini hayafuatwi wala kuheshimiwa?

Sisi hata yale ambayo yapo kwenye katiba kuna watu wanajiona wao hayawahusu. Wanakiuka katiba kila kukicha.
 
Hakuna mtu anayetaka kuingilia faragha ya Nchimbi.

Hata kama alikuwa ni makamu haramu wa Rais, yeye bado ni public figure by virtue ya nafasi alizowahi kushika nchini.

Watu wana interest ya kutaka kujua kama yupo salama au la, hususan kufuatia matukio mengi ya utekaji na upotezwaji wa watu yanayoendelea nchini.

Mistari michache ya kusema ‘ahsanteni sana Watanzania wenzangu kwa kutaka kujua kama nipo salama au la, napenda kuwahakikishia kwamba mimi nipo salama salimini. Kwa sasa naombeni mniruhusu nikae nitulie na familia yangu. Tutazungumza zaidi muda utakapofika.’

Maneno machache tu kama hayo yataondoa kabisa hii sintofahamu iliyopo.

Hatutaki kujua Nchimbi kavaa chupi gani, kala chakula gani, kaongea na nani, n.k.

Hakuna anayetaka kuivamia faragha yake.

Humphrey Polepole mpaka leo hatujui alipo.

Ben Saanane mpaka leo hatujui alipo.

Deu Soka hatujui alipo.

Na kuna wengine wengi hatujui walipo.

That is a very concerning pattern to anybody who has an ounce of intelligence in their head.

Us wanting to know their whereabouts and their wellbeing is not akin to invasion of privacy.
 
Bado wanavizia vibahasha vya khaki.
 
Thanks for this,ujumbe huu nimeu share kwa watu wake wale waliosababisha mimi nikaisikia hii sauti,

Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"​


Akiridhia,basi utamshuhudia ameibuka,na ikitokea ukamsikia kwenye video clip akisema ”ahsanteni sana Watanzania wenzangu kwa kutaka kujua kama nipo salama au la, napenda kuwahakikishia kwamba mimi nipo salama salimini. Kwa sasa naombeni mniruhusu nikae nitulie na familia yangu. Tutazungumza zaidi muda utakapofika.” ujue ni wewe umesaidia hili!

Thanks

P
 
Kwenye video clip ?! 😳😁🤣
 
Yaani nchi hii sijui ipoje, waandishi ni wa ovyo mno, wanaogopa watafuatwa na kutekwa, yaani sijui kwanini wanaruhusu huu upumbavu.
 
Kabla Magufuli hajafariki alihakikisha ameua MEDIA zote na alifanikiwa kwa hilo,waandish Habari Nguli walizimwa au kupotezwa kabisa dunian...Hayat magufuli alinunua karibia media zote binafsi,zilipewa pesa zakufa mtu zifanye propaganda,TIdo Mhando aliondolewa TBC baada yakuendesha mdahalo wa live kwenye Tv( mchakato majimboni) na akafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi,cloudsmedia ikavamiwa na wanajeshi live,Channel teno ikanunuliwa na serikali,magazeti yote yakauliwa yakabak magazet ya CHAMA..

Unategemea bado kuna waandishi wa HABARI Tanzania? Au wamebaki WALAMBA MATAKO? hakuna tena vipnd vya kujenga au kuboresha jamii ni Mama,mama,mama..Betting,vipind vya umbea,hakuna vipind vyakuonya au kujenga jamii nan wakuwasemea wananchi? HAKUNA mana ccm wame corrupt mpaka madhehebu ya dini,tuliona pesa zilivyomwagwa kwenye taasisi hizi za din unategemea HAKI?
 
Baadhi ya watanzania ni wasahaulifu sana
Kama Kuna mtu alimsikiliza walioba mazungumzo yake kuhusu nchibi majibu unayo
 
Ila kama hawajathubutu muda wote huo,Leo yupo Mwamba kusema anatani maswali magumu,japo sijaona hakikisho la kutokutekwa baada ya maswali magumu,hivyo mtazamo wangu ni kuwa watakaojitokeza kuuliza ni maswali nyanya Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…