Ina maana hawa wanaovaa makanga na matisheti ya CCM wakati wa kampeni CCM sio mali yao? Ni mali ya wajanja wa mjini

Wenye chama wanaonekana kwenye kugawana madaraka tu,

Lakini wanaovuja jasho ni wengine.

Na ndio uhuni wenyewe uliokua unasemekana.
Akili zenu ndiyo zinaanza kuchakata hilo sasa?Mbona mlishawahi kuonywa kitambo kuwa nyie ni T-Paper za wenye chama chao!Unauliza majibu hapa jf?
 
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?View attachment 2074418
Screenshot_20220104-220254.jpg
 
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?View attachment 2074418
..kuna wengine ni wanachama kindakindaki na wafuasi wa Ccm...na wengine wanatafuta maisha/fursa tu mfano pesa ndogo ndogo, posho n.k....hayo ya nani mmiliki wa chama hayawahusu.
 
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?View attachment 2074418
Wenye chama wanaonekana kwenye kugawana madaraka tu,

Lakini wanaovuja jasho ni wengine.

Na ndio uhuni wenyewe uliokua unasemekana.
Kubalini tu kila masika ina mbu wake....masika yenu ilikuwa awamu ya 5 hivyo kuweni wapole kwa Sasa.

Ila bado mna nafasi humo humo chamani...nendeni mkanyenyekee kwa wakubwa zenu, hawatawatosa.
 
Huyo mama yenu mlikua mnakula naye kila siku meza moja sasa mnasema amewageuka ilhali kasema yeye na jiwe ni kitu kimoja?

Kwahiyo mmejuana kuwa adui wa CCM anatoka CCM sio upinzani ?

Katiba mpya ni ya msingi sana hata hivi vyeo vya uwaziri inapaswa viwe ni vya merit sio ahsante ya kuwa kada wa chama.

Kwa katiba hii mtaendelea mchakamchaka sababu nguvu ziko kwa mtu mmoja na akiamua kuzitumia anazitumia bila kuhojiwa kokote.

Nje ya mada nasikia MATAGA mnasema 2025 mnaenda na Membe😀😀
 
Kubalini tu kila masika ina mbu wake....masika yenu ilikuwa awamu ya 5 hivyo kuweni wapole kwa Sasa.

Ila bado mna nafasi humo humo chamani...nendeni mkanyenyekee kwa wakubwa zenu, hawatawatosa.
Hoja ni nani mmiliki wa Ccm mengine unaleta umbea tu.
 
Back
Top Bottom