Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Leo unawaruka vijani wenzio sio.Wenye chama wanaonekana kwenye kugawana madaraka tu,
Lakini wanaovuja jasho ni wengine.
Na ndio uhuni wenyewe uliokua unasemekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo unawaruka vijani wenzio sio.Wenye chama wanaonekana kwenye kugawana madaraka tu,
Lakini wanaovuja jasho ni wengine.
Na ndio uhuni wenyewe uliokua unasemekana.
Akili zenu ndiyo zinaanza kuchakata hilo sasa?Mbona mlishawahi kuonywa kitambo kuwa nyie ni T-Paper za wenye chama chao!Unauliza majibu hapa jf?Wenye chama wanaonekana kwenye kugawana madaraka tu,
Lakini wanaovuja jasho ni wengine.
Na ndio uhuni wenyewe uliokua unasemekana.
NDIYOooo....Kiingilish
ndio majibu hayo hii nchi imekuwa mali ya familia tatu...yan ccm ni mali yao pia, muachage ujinga sasa naona mnashtukaTwende taratibu nimeuliza swali nataka majibu
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?View attachment 2074418
Mapinduzi yakitokea?
Ukiona hivyo ujue alikuwa labda Chawa wa Waitara .Ujue hata sikuamini kabisa kama ni yeye, duh maisha yanakwenda speed sana
Wenye chama wanaonekana kwenye kugawana madaraka tu,
Lakini wanaovuja jasho ni wengine.
Na ndio uhuni wenyewe uliokua unasemekana.
Sukuma GANG wamepoteza CCM , wamezibitiwa hawaamini.Ujue hata sikuamini kabisa kama ni yeye, duh maisha yanakwenda speed sana
Chali kabisa kabisa…Kwan jiwe na kiroboto wanasemaje????
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?View attachment 2074418
..kuna wengine ni wanachama kindakindaki na wafuasi wa Ccm...na wengine wanatafuta maisha/fursa tu mfano pesa ndogo ndogo, posho n.k....hayo ya nani mmiliki wa chama hayawahusu.Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?View attachment 2074418
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?View attachment 2074418
Kubalini tu kila masika ina mbu wake....masika yenu ilikuwa awamu ya 5 hivyo kuweni wapole kwa Sasa.Wenye chama wanaonekana kwenye kugawana madaraka tu,
Lakini wanaovuja jasho ni wengine.
Na ndio uhuni wenyewe uliokua unasemekana.
Hoja ni nani mmiliki wa Ccm mengine unaleta umbea tu.Kubalini tu kila masika ina mbu wake....masika yenu ilikuwa awamu ya 5 hivyo kuweni wapole kwa Sasa.
Ila bado mna nafasi humo humo chamani...nendeni mkanyenyekee kwa wakubwa zenu, hawatawatosa.