Siasa za Tanzania ni za ajabu sana.
Nyerere alikua mtu mzuri lakini alikua na flaws nyingi sana.
Nyerere aliona mapungufu yaliyopo ya katiba na akayasema wazi lakini hakuchukua hatua yoyote kuyarekebisha. Nadhani aliamini Tanzania itapata viongozi wenye moyo kama wake, hii ilikua a massive mistake.
Mapungufu hayo ndio yamepeleka hata sasa tunaongozwa na mtu ambae hatukumchagua na wala hatujui mipango yake wala malengo yake. Sasa tumekua tukiambiwa malengo yake kupitia chawa na wahuni wake wengine.
Anyw6, apumzike kwa amani mzee Mwinyi.