Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Nyerere na Mkapa walikuwa wabunge! Nilisahau hilo.Ndio maana nasema alikuwa na bahati, sidhani hii Kama inaweza tokea tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere na Mkapa walikuwa wabunge! Nilisahau hilo.Ndio maana nasema alikuwa na bahati, sidhani hii Kama inaweza tokea tena
Zamani mavitu yalikuwa yanakwenda kwenda tu. Ajira njenje, ukiwa na shahada una uhakika na uwaziri.Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
Jina hunena. Sasa mzazi anamuita mtoto wake shida,tabu,matatizo,majuto,mtakoma,Wazazi wake walimpa jina la Nzasa maana yake "asiyekaukiwa"
Hiyo ni kimantiki tu sio kiuhalisia.Kuhusu kutofanyia kazi mapungufu ya katiba sawa, ila kusema hukumchagua Samia si kweli, unless unasema hata magu hakuchaguliwa hapo itakua sawa, ila kama magu ulimkubali basi jua magu alikua sambamba na samia, na hakunq mwenye uhakika na uhai na katiba ipo wazi ikitokea changamoto makamu atapanda cheo
Duuh. Hapo chini wamekosea.Una miaka mingapi???
Mwaka 1974 mpaka 1977 alikuwa waziri wa Mambo ya ndani..
Huku akiwa mbunge
View attachment 2922052
Alikosea yeye MwinyiDuuh. Hapo chini wamekosea.
Badala ya walio, ameandika walipo.
KIsarawe siyo kisalaweAlikuwa mbunge kisalawe awamu mbili baadae akaenda kuwa mbunge zanzibar au nadanganya??
Kumbuka katiba inayotaka waziri mkuu kuwa mbunge kutoka chama chenye wabunge wengi ni ya 1977, wakati huo huo Nyerere alikuwa waziri mkuu miaka ya 1960'sNyerere alikuwa mbunge, usingeweza kuwa waziri mkuu bira kuwa mbunge.
We tulia tu,tunakulia timing mbwa wewe.Mabibi na mabwana, asanteni kwa bandari.
Kuna kitu umenena na bado hawatakuelewaSiasa za Tanzania ni za ajabu sana.
Nyerere alikua mtu mzuri lakini alikua na flaws nyingi sana.
Nyerere aliona mapungufu yaliyopo ya katiba na akayasema wazi lakini hakuchukua hatua yoyote kuyarekebisha. Nadhani aliamini Tanzania itapata viongozi wenye moyo kama wake, hii ilikua a massive mistake.
Mapungufu hayo ndio yamepeleka hata sasa tunaongozwa na mtu ambae hatukumchagua na wala hatujui mipango yake wala malengo yake. Sasa tumekua tukiambiwa malengo yake kupitia chawa na wahuni wake wengine.
Anyw6, apumzike kwa amani mzee Mwinyi.
Vijana sasa hivi wanashindana kuchamba vizuri na kutawadha sana muilize BICHWA KOMWE -Enzi zile Mwl. akisena YES who would go against? Muwe mnaelewa historia ya nchi yenu sio kupenda kuvaa vikuku na kata k; daily kuangalia michezo ya kijinga kwa ma-tv na kusikiliza upuuzi kwenye viredio gani sijui! Vijana jitambueni!
Hussein hajawahi kuwa mbunge wa Kisarawe bali MkurangaHuyo unamsema Hussein Mwinyi sio Ally Hassan Mwinyi
Brother listen...not listeningBrother listening, i has to tell you or education you if you know what i means. Do yu even know something called manifesto? How you says dk mama that u even dont konw how the plans are? Evety leaders follows carefuul palnned manifesto for the next five years.rwelax go raed ilan ya uchahguz 2020-2025 awiiii
Alfu lingine aliitwa "sihaba"Wazazi wake walimpa jina la Nzasa maana yake "asiyekaukiwa"
Nipo mbagala we upo sehemu gan mkuuHuku mitaa yetu ya mbagala kuna kitongoji kinaitwa Nzasa ..
Hili jina ni wandengereko itakuwa
Hahahahahajajj sijui kingereza lkn wewe hujui kbsaaa [emoji23]Brother listening, i has to tell you or education you if you know what i means. Do yu even know something called manifesto? How you says dk mama that u even dont konw how the plans are? Evety leaders follows carefuul palnned manifesto for the next five years.rwelax go raed ilan ya uchahguz 2020-2025 awiiii
Nyerere ni mnufaika wa katiba, unaweza kata mkono unaokulisha? Huwezi ila unaweza kukosoa kuwa vidole vyake vina kucha ndefu. Hivi ndivyo ilivyokuwa na ndivyo inavyoendelea.Siasa za Tanzania ni za ajabu sana.
Nyerere alikua mtu mzuri lakini alikua na flaws nyingi sana.
Nyerere aliona mapungufu yaliyopo ya katiba na akayasema wazi lakini hakuchukua hatua yoyote kuyarekebisha. Nadhani aliamini Tanzania itapata viongozi wenye moyo kama wake, hii ilikua a massive mistake.
Ulipomchagua JPM ulimchagua Samia. Katiba ipo wazi katika hili, Makamu ni mbadala wa Rais.Mapungufu hayo ndio yamepeleka hata sasa tunaongozwa na mtu ambae hatukumchagua na wala hatujui mipango yake wala malengo yake. Sasa tumekua tukiambiwa malengo yake kupitia chawa na wahuni wake wengine.
RIP.Anyw6, apumzike kwa amani mzee Mwinyi.
Chamazi mkuu ndiyo homeNipo mbagala we upo sehemu gan mkuu
Nyerere alikuwa ni mbunge wa kilombelo, kipindi kile cha ukoloni,ukitaka uwe mjumbe wa baraza za legco,ni lazima uwe mbunge.Rais hatokani na wabunge na si lazima awe aliwahi kuwa mbunge, shule ya msingi umemaliza lini?
Mna ongelea kuhusu katiba ya Tanzania,au katiba ya mkoloni kipindi cha kudai uhuru?Kifungu gani cha katiba kinasema rais wa muungano agombee ubunge?