citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Nyerere alikuwa mbunge wa wapiHabari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
Hata Urais nao Alipewa tu , Zanzibar aliteuliwa akawa Rais , huku Tanganyika aligombea huku akishindana na kivuli , we uliona wapi haya mambo ?Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
God wishesHabari.

Acha uongo,wakati huo kulikuwa hakuna sheria hiyo ya kipumbavu.Nyerere alikuwa mbunge, usingeweza kuwa waziri mkuu bira kuwa mbunge.
Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
Kuhusu kutofanyia kazi mapungufu ya katiba sawa, ila kusema hukumchagua Samia si kweli, unless unasema hata magu hakuchaguliwa hapo itakua sawa, ila kama magu ulimkubali basi jua magu alikua sambamba na samia, na hakunq mwenye uhakika na uhai na katiba ipo wazi ikitokea changamoto makamu atapanda cheoSiasa za Tanzania ni za ajabu sana.
Nyerere alikua mtu mzuri lakini alikua na flaws nyingi sana.
Nyerere aliona mapungufu yaliyopo ya katiba na akayasema wazi lakini hakuchukua hatua yoyote kuyarekebisha. Nadhani aliamini Tanzania itapata viongozi wenye moyo kama wake, hii ilikua a massive mistake.
Mapungufu hayo ndio yamepeleka hata sasa tunaongozwa na mtu ambae hatukumchagua na wala hatujui mipango yake wala malengo yake. Sasa tumekua tukiambiwa malengo yake kupitia chawa na wahuni wake wengine.
Anyw6, apumzike kwa amani mzee Mwinyi.
Nyerere alikuwa mbunge, usingeweza kuwa waziri mkuu bira kuwa mbunge.
Wazaramo nadhani.Huku mitaa yetu ya mbagala kuna kitongoji kinaitwa Nzasa ..
Hili jina ni wandengereko itakuwa
Alishindwaje kurekebisha hiyo katiba?Siasa za Tanzania ni za ajabu sana.
Nyerere alikua mtu mzuri lakini alikua na flaws nyingi sana.
Nyerere aliona mapungufu yaliyopo ya katiba na akayasema wazi lakini hakuchukua hatua yoyote kuyarekebisha. Nadhani aliamini Tanzania itapata viongozi wenye moyo kama wake, hii ilikua a massive mistake.
Mapungufu hayo ndio yamepeleka hata sasa tunaongozwa na mtu ambae hatukumchagua na wala hatujui mipango yake wala malengo yake. Sasa tumekua tukiambiwa malengo yake kupitia chawa na wahuni wake wengine.
Anyw6, apumzike kwa amani mzee Mwinyi.
Ilikua inamfeva wakati akiwa kiongozi mkuu.Nyerere
Alishindwaje kurekebisha hiyo katiba?
Brother listening, i has to tell you or education you if you know what i means. Do yu even know something called manifesto? How you says dk mama that u even dont konw how the plans are? Evety leaders follows carefuul palnned manifesto for the next five years.rwelax go raed ilan ya uchahguz 2020-2025 awiiiiSiasa za Tanzania ni za ajabu sana.
Nyerere alikua mtu mzuri lakini alikua na flaws nyingi sana.
Nyerere aliona mapungufu yaliyopo ya katiba na akayasema wazi lakini hakuchukua hatua yoyote kuyarekebisha. Nadhani aliamini Tanzania itapata viongozi wenye moyo kama wake, hii ilikua a massive mistake.
Mapungufu hayo ndio yamepeleka hata sasa tunaongozwa na mtu ambae hatukumchagua na wala hatujui mipango yake wala malengo yake. Sasa tumekua tukiambiwa malengo yake kupitia chawa na wahuni wake wengine.
Anyw6, apumzike kwa amani mzee Mwinyi.
Una miaka mingapi???Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
Japo Aliwahi kuwa MbungeRais hatokani na wabunge na si lazima awe aliwahi kuwa mbunge, shule ya msingi umemaliza lini?
Kuna English za aina mbalimbali like US, Nigerian, SA, Australian, Indian, etc. Naona umeamua kutuletea Bongo English. Safi sana dogo.Brother listening, i has to tell you or education you if you know what i means. Do yu even know something called manifesto? How you says dk mama that u even dont konw how the plans are? Evety leaders follows carefuul palnned manifesto for the next five years.rwelax go raed ilan ya uchahguz 2020-2025 awiiii
Buti HamaDuh
Nyerere alikuwa mbunge wa wapi kihistoria?
Ndio maana nasema alikuwa na bahati, sidhani hii Kama inaweza tokea tenaRais hatokani na wabunge na si lazima awe aliwahi kuwa mbunge, shule ya msingi umemaliza lini?
Wazazi wake walimpa jina la Nzasa maana yake "asiyekaukiwa"
Very brokenBrother listening, i has to tell you or education you if you know what i means. Do yu even know something called manifesto? How you says dk mama that u even dont konw how the plans are? Evety leaders follows carefuul palnned manifesto for the next five years.rwelax go raed ilan ya uchahguz 2020-2025 awiiii