Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

Kwamba Nyerere hakujua aina ya katiba iliyokua ikiandaliwa?..na alipojua hakuwa na muda wa kuibadili!?..huwa mnajitoa akili likija suala la Nyerere!!
 
Habari.

Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.

Huyu mzee alikuwa na bahati sana

Nawasilisha
Mkapa aliwahi kuwa mbunge wa wapi? Je Nyerere?
 
Hu hu hu..
 
Sijaelewa vizuri

Ila alishawahi kuwa mbunge wa mkuranga hata rais wa sasa kule visiwani alishawahi kuwa mbunge wa mkuranga akiwa naibu waziri wa afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…