Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Wewe umeamini?

Hizo ni siasa nyepesi!
Unataka tukuamini wewe ambaye siyo sehemu ya issue yenyewe? Kwa nini Tra hawajajibu tuhuma za mbowe,Samia suluhu,wala Za magufuli?statement ya mbowe itabaki kuwa sahihi hadi pale Tra wenyewe watakapotupa taarifa tofauti.
 
Haujaelewa mantiki ya Mbowe, ni kwamba alipelekewa barua za madai wakati yupo Jela na akaambiwa atoe responses wakati bado yupo Jela, ile anatoka kushakuwa na time lapse na muda wa kujitetea haupo tena. Kilichofuata ni kuchukua pesa zake zote na kumfungia akaunti zake. Kimsingi plan ilipangwa ikapangika. Sasa katika mazingira hayo huyo Muhasibu wa kazi gani?
Mkuu usibishane na mpumbavu atakuambukiza upumbavu wake.
 
Mimi siyo Bavicha wa kudanganywa kibwege bwege.

Mbowe anamiliki kampuni siyo genge la nyanya na TRA siyo mapoyoyo kama Bavicha mnavyofikiria!
Shule ya st jude arusha walikwapuliwa hela kwenye akaunti yao bila hata taarifa,huo ni utaratibu sahihi wa tra? Au lile ni genge la nyanya?kwani wale waliobambikizwa kesi za uhujumu uchumi na kutakiwa kulipa kiasi fulani cha pesa nje ya mahakama utaratibu wa kisheria uliofuatwa ni upi? Mambo yalikuwa yanafanyika nje ya sheria,na ndiyo maana yaliwezekana,kama sheria ingelizingatiwa hata pesa ambazo cag anasema zilikutwa kwenye akaunti ya dpp ambazo ni hizo ransom walizotoa wahanga wa kesi za uhujumu uchumi zingetosha kumsweka dpp rumande,kumbuka magufuli alishasema kabisa kuwa sheria zinamchelewesha,hivyo alikuwa anapiga short cut tu,ndiyo maana mama samia anajaribu kurudisha mfumo halali wa kisheria.
 
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.

Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.

Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.

Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kwani watu wote wanaoalalamika ikiwemo hata baadhi ya Wabunge, watu wote wenye makampuni waliohama nchi, watu wote inaotajwa walikua na Tax Clearance kama Mh alivyosema hadharani, hawakua na hao uliowataja?
Hoja zako naona zinakosa mantiki!
 
Huyu Mbowe ni kuonewa tu. Alikaa kwenye nyumba ya NHC zaidi ya miaka 10 bila kulipa kodi. Alipofukuzwa ndani ya nyumba akasema kaonewa. Halafu kuonewa huku kunaelezwa waandishi wa habari sio mashtaka polisi au mahakamani
Halafu mkuu wa wilaya akatuma migambo wakafyeke shamba la mbowe na kuharibu miundombinu yote,wakidai kuwa shamba lipo kwenye chanzo cha maji,watu wa mazingira wakaja na kusema wazi kabisa kuwa shamba halikuwa karibu na chanzo cha maji,wala halikuwa na athari yoyote kwa mazingira,ila mbowe akizungumzia hilo mtasemaa ni cheap politics,au anatafuta huruma,siku yenu yaja.
 
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.

Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.

Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.

Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huyo mhasibu tra wanamjua? Au hujui ukiwa director ndio uko responsible? Plus this was having political motives. I'm not surprised with tra
 
Labda aliwauliza,ila pale amezungumzia kilichotokea,Samia naye anapolalamikia utendaji mbovu wa tra naye anafanya cheap politics?
1. Akishawauliza ndio aje atoe maelezo. Vinginevyo si kweli anatake advantage kujifufua kisiasa kwa siasa nyepesinyepesi
2. Madame samia yeye kaongea kama Raisi anaetatua changamoto za kiutendaji na ana/me tafuta muarubaini , hajajiongelea binafsi yake. Hiyo ndio siasa anaongelea kwa upana wamambo .
 
Huyo mhasibu tra wanamjua? Au hujui ukiwa director ndio uko responsible? Plus this was having political motives. I'm not surprised with tra
Biashara kubwa kama za mbowe lazima awe na public certified accoutant ndie anaeweza jibu maswala technical yanayohusu biashara zake .
 
Back
Top Bottom