Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Unataka tukuamini wewe ambaye siyo sehemu ya issue yenyewe? Kwa nini Tra hawajajibu tuhuma za mbowe,Samia suluhu,wala Za magufuli?statement ya mbowe itabaki kuwa sahihi hadi pale Tra wenyewe watakapotupa taarifa tofauti.Wewe umeamini?
Hizo ni siasa nyepesi!