Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Wewe mnyalu na biashara wapi na wapi? Wewe unajua tu kugema ulasi na kuuza mia 5 kwa kilita kwenye kilabu. Ndiyo maana hata miti hapo Mafinga wametawala Wakinga na Wachagga.

Hayo.mambo ya kodi na TRA kubambika kodi yamekuzidi sana akili. We leta zile nyuzi zako nyepesi nyepesi za kumhusu Ndugai na covid 19
 
Bwashee pamoja na yote Freeman Mbowe analeta usanii.

Yaani TRA wamtumie assessments yeye binafsi badala ya kampuni?

Hiyo atawadanganya nyie Bavicha lakini hata Halima Mdee atamkatalia!
 
Mkuu kama nimemsikia vzr Mbowe anasema taarifa zilitumwa kwenye email ambayo yeye nadhani ndio ana password kitu ambacho akiwa segerea asingeweza kusoma hiyo email
 
Mkuu kama nimemsikia vzr Mbowe anasema taarifa zilitumwa kwenye email ambayo yeye nadhani ndio ana password kitu ambacho akiwa segerea asingeweza kusoma hiyo email
Sasa hilo ni tatizo lake siyo la TRA
 
Wamekwepa Sana kodi Hawa wanasiasa siwez hata kuwaonea huruma
Magu aliwaweza
Labda wajipange upya
 
Kwani ni Mbowe tu anayelalamika uhuni wa TRA ya Magufuli.Hivi wew bwege hukumsikia mh Rais akiwaapisha mawaziri?Au unaongea ugoro kwa sbb ni Mbowe msiyempenda?
 
Siyo kweli.

Mbowe anamiliki kampuni siyo kioski cha Mangi.

Kampuni za Mbowe zina wahasibu kwa mujibu wa sheria na hao hufanya kazi hizo za kushughulika na mambo ya kodi.
Unaongea utadhani walikua wanafata sheria kupokonya fedha za watu jiongeze kidogo sio muda wote akili inakua Kama imedumaa vile tumeona mashamba yake yakivamiwa kwani wanasheria hawakuwepo kutetea yale...
 
Ni TRA ya Magufuli.
 
Kwani ni Mbowe tu anayelalamika uhuni wa TRA ya Magufuli.Hivi wew bwege hukumsikia mh Rais akiwaapisha mawaziri?Au unaongea ugoro kwa sbb ni Mbowe msiyempenda?
Hapa tunazungumzia upotoshaji wa Mbowe!
 
Kwanini mumtumie email mtu akiwa jela huku mkijua fika hakuwa na simu?

Wizi mtupu.
 
Unaongea utadhani walikua wanafata sheria kupokonya fedha za watu jiongeze kidogo sio muda wote akili inakua Kama imedumaa vile tumeona mashamba yake yakivamiwa kwani wanasheria hawakuwepo kutetea yale...
Hapa tunazungumzia kampuni siyo mtu binafsi!
 
Siyo kweli.

Mbowe anamiliki kampuni siyo kioski cha Mangi.

Kampuni za Mbowe zina wahasibu kwa mujibu wa sheria na hao hufanya kazi hizo za kushughulika na mambo ya kodi.

Amesema hamna barua iliyopelekwa ofisini kwake. Ametumiwa e-mail binafsi akiwa mahabusu ambako hana access na internet. Hao wahasibu wangeshughulikia kitu ambacho hawana habari nacho? Nini kigumu kuelewa?

Amandla...
 
Basi hiyo e mail katumiwa na vishoka kwa sababu utaratibu wa TRA hauko hivyo vinginevyo aende mahakama ya biashara!
 
Magufuli (aka TRA) alituma notification kwenye private address ya Mbowe kwa makusudi ili asiwepo mwingine wa kupata taarifa halafu wapate kigezo cha kumfilisi na kuiua Chadema. Na walituma kwenye private email ya Mbowe si kwamba hawana company official email - NO - bali ni ushenzi tu wao ambao hadi ukamkasirisha Mungu akaamua kuawawaisha kaburini kuondoa udhia kwa waja wake!
 
Hapa tunazungumzia kampuni siyo mtu binafsi!
Unaona kampuni ni hatari aisee vijana wengi walifunga makampuni kwa ujinga huo hasa Arusha yale makampuni ya utalii sheria walikua hawafati wale wahuni tuu na majambazi...
 
Freeman Mbowe na kampuni zake ni vitu viwili tofauti kabisa usidanganyike kimbege mbege bwashee.
 
Basi hiyo e mail katumiwa na vishoka kwa sababu utaratibu wa TRA hauko hivyo vinginevyo aende mahakama ya biashara!

Na hao vishoka ndio waliofunga akaunti zake zote na kukomba pesa zake? Na hao hao vishoka ndio waliomwandikia barua ya kufungua akaunti zake baada ya kauli ya Mheshimiwa Rais kuhusu dhulma?

Amandla...
 
Halafu kwenye email binafsi
Hawa wapuuzi ni makatili sana
Enablers wamebaki,ni kudeal nao tu hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…