Alitumiwa email na tra kwenye email yake binafsi akiwa jela..Freeman Mbowe na kampuni zake ni vitu viwili tofauti kabisa usidanganyike kimbege mbege bwashee.
Jiwe alikuwa anakomoa...alitaka Mbowe ampigie magoti baada ya kumkata kiuchumi...but he didn't.Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.
Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.
Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.
Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huo utaratibu wa kumtumia Freeman Mbowe assessments kwa e mail yake binafsi badala ya kampuni umeanza lini?Mbowe kasema emal ya madai ya kodi TRA waliituma kwenye email yake binafsi akiwa jela. Ina maana walijua hawezi kuiona.
TRA wangekuwa na nia njema ya kudai kodi wangetuma hiyo email kwa kutumia email ya kampuni yake au kwa wasimamizi wa biashara yake. Walimtumia yeye wakijua huko jela hamna access ya yy kuona hiyo email.
Uovu wa serikali ya magufuli ulikuwa kama wa shetani
Sisi tunaendelea kumshukuru Mungu. Kazi yake haina makosa
Use unatafakari kwanza kabla hujaandika mapenzi yako kwa mwendazake.Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.
Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.
Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.
Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Wewe unadhani Freeman Mbowe kaanza biashara jana?Na hao vishoka ndio waliofunga akaunti zake zote na kukomba pesa zake? Na hao hao vishoka ndio waliomwandikia barua ya kufungua akaunti zake baada ya kauli ya Mheshimiwa Rais kuhusu dhulma?
Amandla...
Wewe watu mpaka akaunti binafsi ya mshahara wameipukutisha(Sio akaunti ya Kampuni) unashangaa kwanini hawakumuandikia Tax Consultant wakeSiyo kweli.
Mbowe anamiliki kampuni siyo kioski cha Mangi.
Kampuni za Mbowe zina wahasibu kwa mujibu wa sheria na hao hufanya kazi hizo za kushughulika na mambo ya kodi.
Anao ushahidi. Akileta hapa najua utakimbilia kwenye ukabilaHuo utaratibu wa kumtumia Freeman Mbowe assessments kwa e mail yake binafsi badala ya kampuni umeanza lini?
Kwani Mbowe anamiliki kampuni za mfukoni?
Uwongo wa kisiasa ni tofauti kabisa na uongo wa kitaaluma, na katika hili Mbowe amechemka!
Kwani Freeman Mbowe anamiliki kampuni au duka la rejareja?Hivi wewe zimo kweli,upo jela then unatumiwa personal email ukiwa humo humo jela huna access ya kusoma wala kujua hiyo email kama imetumwa utaota kuwa kuna emails? Na pia kama wanajua ana kampuni kwanini hizo taarifa iwe email au barua zisiende moja kwa moja ofisini kwake?
Ukabila wa nini bwashee?Anao ushahidi. Akileta hapa najua utakimbilia kwenye ukabila
Mwendazake anahusikaje hapa?Use unatafakari kwanza kabla hujaandika mapenzi yako kwa mwendazake.
Hahahaaaa.... Wote wanalilia tu hapa!Kwahiyo hakuna bavicha hata mmoja anayejua accounts amsaidie mwenyekiti kuweka mahesabu yake sawa??
jiulize mwenyewe kwa nini watume madai kwa e-mail, ilikuwa hila ovu ya kumuumiza ,vita mbaya ya kiuchumi alitumia magufuli kuumiza watuNinavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.
Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.
Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.
Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Naona unajaribu kututoa kwenye mstari kuwa route ya ATCL Chato ilianzishwa kisiasa na ikiendelea italiongezea shirika hasara maradufu!
Umeona barua au umesikiliza alichosema Mbowe?
Je kula pesa za chama ulishawahi kumuona akikanusha hata siku moja?
Ulisikiliza speech nzima..... Barua za Tra zilitumwa kwenye email binafsi ya mbowe na sio ya ofisi na mda huo alikuwa jela hana access ya internet wala simu angezipokeajeNinavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.
Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.
Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.
Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Tunaendelea kusimulia ambayo hayakutaka yasikike kwenye jamii, hatutapita bila kuyasema.Sasa kama anaye tax consultant analialia nini mbele ya waandishi wa habari?!