Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Mbowe ni Mjanja Mjanja mjini ... Katumia pesa za chama kwenda ulaya kupiga chanjo
 
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.

Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.

Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.

Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Jiwe alikuwa anakomoa...alitaka Mbowe ampigie magoti baada ya kumkata kiuchumi...but he didn't.

This is what makes him to be strong and trusted by Tanzania's ever!!

Jiwe ameumiza wengi sana huyu jamaa!!
Nimuda muafaka sasa wa kuitazama upya katiba yetu, tusije tukapata jingine la sampuli hii tukalia tena!!
 
Mbowe kasema emal ya madai ya kodi TRA waliituma kwenye email yake binafsi akiwa jela. Ina maana walijua hawezi kuiona.

TRA wangekuwa na nia njema ya kudai kodi wangetuma hiyo email kwa kutumia email ya kampuni yake au kwa wasimamizi wa biashara yake. Walimtumia yeye wakijua huko jela hamna access ya yy kuona hiyo email.

Uovu wa serikali ya magufuli ulikuwa kama wa shetani

Sisi tunaendelea kumshukuru Mungu. Kazi yake haina makosa
Huo utaratibu wa kumtumia Freeman Mbowe assessments kwa e mail yake binafsi badala ya kampuni umeanza lini?

Kwani Mbowe anamiliki kampuni za mfukoni?

Uwongo wa kisiasa ni tofauti kabisa na uongo wa kitaaluma, na katika hili Mbowe amechemka!
 
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.

Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.

Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.

Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Use unatafakari kwanza kabla hujaandika mapenzi yako kwa mwendazake.
 
Na hao vishoka ndio waliofunga akaunti zake zote na kukomba pesa zake? Na hao hao vishoka ndio waliomwandikia barua ya kufungua akaunti zake baada ya kauli ya Mheshimiwa Rais kuhusu dhulma?

Amandla...
Wewe unadhani Freeman Mbowe kaanza biashara jana?

Figisu za hivyo TRA wanaweza kuwafanyia wakinga lakini siyo mchaga tena tajiri.

Hii Bavicha ndio mmeingizwa force king!
 
Siyo kweli.

Mbowe anamiliki kampuni siyo kioski cha Mangi.

Kampuni za Mbowe zina wahasibu kwa mujibu wa sheria na hao hufanya kazi hizo za kushughulika na mambo ya kodi.
Wewe watu mpaka akaunti binafsi ya mshahara wameipukutisha(Sio akaunti ya Kampuni) unashangaa kwanini hawakumuandikia Tax Consultant wake

Jibu ni kwamba walimlenga Mbowe binafsi na siyo kampuni
 
Huo utaratibu wa kumtumia Freeman Mbowe assessments kwa e mail yake binafsi badala ya kampuni umeanza lini?

Kwani Mbowe anamiliki kampuni za mfukoni?

Uwongo wa kisiasa ni tofauti kabisa na uongo wa kitaaluma, na katika hili Mbowe amechemka!
Anao ushahidi. Akileta hapa najua utakimbilia kwenye ukabila
 
Hivi wewe zimo kweli,upo jela then unatumiwa personal email ukiwa humo humo jela huna access ya kusoma wala kujua hiyo email kama imetumwa utaota kuwa kuna emails? Na pia kama wanajua ana kampuni kwanini hizo taarifa iwe email au barua zisiende moja kwa moja ofisini kwake?
Kwani Freeman Mbowe anamiliki kampuni au duka la rejareja?

Tuanzie hapo mheshimiwa, samahani lakini!
 
Kwahiyo hakuna bavicha hata mmoja anayejua accounts amsaidie mwenyekiti kuweka mahesabu yake sawa??
 
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.

Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.

Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.

Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
jiulize mwenyewe kwa nini watume madai kwa e-mail, ilikuwa hila ovu ya kumuumiza ,vita mbaya ya kiuchumi alitumia magufuli kuumiza watu
 
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.

Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.

Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.

Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ulisikiliza speech nzima..... Barua za Tra zilitumwa kwenye email binafsi ya mbowe na sio ya ofisi na mda huo alikuwa jela hana access ya internet wala simu angezipokeaje
 
Back
Top Bottom