Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Siasa rahisi rahisi kama hizi za mbowe hazitaifikisha nchi popote , madame presdent Mungu amlinde kwelikweli wanarudi kwa kasi sana
 
Ungeuliza kwanini tra hawakuwatafuta hao wahasibu wa Mbowe huku wakijua Mbowe yuko ndani wakatuma ujumbe kwa email yake binafsi.
Hilo swali lako waulize tra sio mbowe.

Mpaka rais Suluhu na marehemu mwenyewe wamekuwa wanawalalamikia tra kubambika watu kodi,wewe unajua zaidi ya Magufuli na Samia?!

Kwanini akiongea Mbowe huelewi?!
 
Naona wasukuma wana hofu balaa. ndio mtakoma tu shenzi kabisa. miaka mitano na hayati wenu mlijiona mnajua sana kumbe mafala tuu. Wajanja wenye nchi wanarudi waleeeee.
Wewe unajisumbua kutukana wasukuma wanajitosheleza tangu uhuru, ndiyo wafugaji wakubwa, ndiyo wakulima wakubwa, ndiyo wamiliki wa migodi wa ndani.Wewe na boss wako ndiyo mnaweweseka maana tangu uhuru mmekuwepo serikalini mkiiba.
 
Mbowe anataka kuihadaa Serikali na Umaa wa kitanzania ili ionekane kuwa alionewa!!!

Anatumia Siasa kutaka kujinusuru ktk mambo yake binafsi ya kibiashara!!! hapana hii haikubaliki.

Kamwe Serikali isiingie ktk mtego huu wa Mbowe.

Anacho kifanya Mbowe ni kutaka kuivunja Nguvu Mamlaka ya Ukusanyaji kodi TRA.
 
Kama ni kweli kwanini hawaulizi hao TRA ? Kwanini analialia kwenye media? Cheap politics.
 
Kwani Mbowe wakati anasajili biashara yake huko TRA pia si aliweka contact zake? Inaamana aliweka E-mail binafsi sio? Au TRA walikwepa kutumia E-mail ya ofisi ya Mbowe wakaisaka -Email binafsi ya Mbowe mpaka wakaipata ndo wakamtumia?
 
Kama ni kweli kwanini hawaulizi hao TRA ? Kwanini analialia kwenye media? Cheap politics.
Kwanini Samia hakumalizana na tra kama utakavyo na akaja kulalamika na kutoa maelekezo mbele ya umma?!mara ngapi Marehemu Magufuli amekuwa akiwakanya tra mbele ya uma?Je,hao nao utasema ni cheap politics?!Hujui Mbowe ni nani nchi hii?!
Hao wote watatu,Samia,Magufuli na mbowe,ni viongozi wa jamii ya watz.Wawili marais na mmoja kiongozi wa chama cha siasa cha pili kwa ukubwa Tanzania.
Wakiongea jambo hawaongei kwa ajili yao tu bali watanzania.
Ulipaswa kulijua hilo kabla ya kujaribu kukisia motives za Mbowe.
Ndio sababu baada ya kujitolea mfano yeye akaendelea kuzungumzia jinsi wafanyabiashara wengi walivyoihama nchi,kitu kilichoathiri uchumi wa taifa mpaka rais Samia mwenyewe kalizungumza hili na kuanza kuweka mikakati ya kurudisha confidence ya wafanyabiashara.
Haya yote huyaoni,huyasikii?unamuona mbowe na maslahi yake tu kwanini?nini kinakuendesha moyoni mwako juu ya mbowe?
 
TRA hawawezi kufanya huo ujinga kwa mfanyabiashara mkongwe kama Freeman Mbowe mwenye kampuni zaidi ya moja.

Hizo ni siasa nyepesi kwa nyie Bavicha!
 
Mbowe amesema madai hayo yalitumwa kwenye email yake binafsi sio ya makampuni.Sasa Jela mahabusu anakuwa na access ya mtandao?
Walifanya makusudi kabisa wakijua hataweza kuyafanyia kazi ili wammalize.Jiwe huko aliko awe mkaa
 
Sasa hilo ni tatizo lake siyo la TRA
We naye sasa hapo Tatizo ni mbowe au TRA waliomtumie madai kwenye mail binafsi??

Kama una yaka kunconfirm mtafute mbowe aku printie hiyo statement na uwatafute TRA wajibu mashitaka hayo.

Unatuchosha hapa kwa mambo yasiyo na kichwa wiguu huku kila moja anajua kuwa Magufuli alikuwa anonea watu kupitia TRA,TISS,Polis,JWT.
 
Ulisikiliza speech nzima..... Barua za Tra zilitumwa kwenye email binafsi ya mbowe na sio ya ofisi na mda huo alikuwa jela hana access ya internet wala simu angezipokeaje
Wewe umeamini?

Hizo ni siasa nyepesi!
 
Uzuri Mungu kaamua kuliponya taifa TRA wameshaonywa na Rais waache ubabe huo waliokuwa wanautenda
 
Siyo kweli.

Mbowe anamiliki kampuni siyo kioski cha Mangi.

Kampuni za Mbowe zina wahasibu kwa mujibu wa sheria na hao hufanya kazi hizo za kushughulika na mambo ya kodi.
Wahutu mnashida sana. Hujaelewa nini sasa? Ni hivi badala ya kupeleka madai kwenye kampuni walipeleka kwa mtu binafsi.
 
Mimi siyo Bavicha wa kudanganywa kibwege bwege.

Mbowe anamiliki kampuni siyo genge la nyanya na TRA siyo mapoyoyo kama Bavicha mnavyofikiria!
 
Hawa walozowea vya kunyonga! Na bado, msipolipa kodi bila shuruti mtamchukia hata huyu mama🤣😂🤣!
 
Kwani ni Mbowe tu anayelalamika uhuni wa TRA ya Magufuli.Hivi wew bwege hukumsikia mh Rais akiwaapisha mawaziri?Au unaongea ugoro kwa sbb ni Mbowe msiyempenda?
Raisi alimtaja Mbowe?
 
Wahutu mnashida sana. Hujaelewa nini sasa? Ni hivi badala ya kupeleka madai kwenye kampuni walipeleka kwa mtu binafsi.
Siyo kweli.

Hakuna huo utaratibu labda alitumiwa kindugu na siyo kiofisi, maana TRA ni kama uko Moshi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…