Siasa rahisi rahisi kama hizi za mbowe hazitaifikisha nchi popote , madame presdent Mungu amlinde kwelikweli wanarudi kwa kasi sanaHivi wewe zimo kweli,upo jela then unatumiwa personal email ukiwa humo humo jela huna access ya kusoma wala kujua hiyo email kama imetumwa utaota kuwa kuna emails? Na pia kama wanajua ana kampuni kwanini hizo taarifa iwe email au barua zisiende moja kwa moja ofisini kwake?