Kwa maana alikuwa kwenye nafasi ya kusign mikataba na uongozi akajinufaisha kama KigwangalaWaliozoea kuitafuna nchi wanarudi kwa kasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana alikuwa kwenye nafasi ya kusign mikataba na uongozi akajinufaisha kama KigwangalaWaliozoea kuitafuna nchi wanarudi kwa kasi
Watu mnashangaza kweli. Mtu anaeleza jinsi alivyonyanyaswa kiuchumi, wewe unasema ni kiki za kisiasa? !Bila Kiki siasa za Tanzania hutoboi ko kumwona hvo mbowe Yan n Kama walvo wanasiasa wengne
Tatizo akili yako ni fupi au bado una ungosha.Siyo kweli.
Mbowe anamiliki kampuni siyo kioski cha Mangi.
Kampuni za Mbowe zina wahasibu kwa mujibu wa sheria na hao hufanya kazi hizo za kushughulika na mambo ya kodi.
Wanasiasa ni watu waongo sana.Mbowe awe na mhasibu au asiwe na mhasibu, kwanini TRA watume barua pepe aliwa gerezani badala ya kupeleka madai yao kwa physical address ???
Income ya tsh 12 bilioni kodi yake ni tsh 2 bilioni?Tatizo akili yako ni fupi au bado una ungosha.
Unazungumzia utaratibu wa kisheria unavyoongoza ktk masuala ya Kodi.
Mbowe analalamikia hujuma.
Sasa jiulishe ndani ya hujuma Kuna kufuata Sheria au taratibu?
Watu was ngosha mwenzako walijua wakituma email kwenye kampuni zitajibiwa kwa wakati, wakaona waitume kwa mbowe huku wakijua hataiona kwa muda was kisheria na hivyo kutimiza hujuma yao. Umekomoaa kubishana kwenye Jambo la wazi kabisa
TRA NA WATUMISHI WA IDARA YA USALAMA WA TAIFATRA walijichafua wenyewe. Badala ya kukusanya kodi, wakajiingiza kwenye kazi ya kulazimisha kodi tena mara nyingine kwa uonezi kabisa.
Ndio maana huwa nahisi wafanyakazi wa umma kufanya kazi kwa weledi. Mana muda ukibadilika lila kitu kinabadilika. Kisichobadilika ni ukweli tu. Unabaki vile ulivyo
Mbowe Mpaka Leo anadaiwa na Nssf Kwenye 2 na hajalipa, Kesi ya Nssf v. Mbowe Hotel na Nssf v. Free Media zote hajalipa contribution kwa Nssf more than 7yrsWanasiasa ni watu waongo sana.
Wewe unamwamini Mbowe anakuambia walimkadiria Income ya tsh 12 bilioni ambayo kodi ya tsh 2 bilioni huoni kuwa anadanganya kabisa.
Hao TRA wametumia rate gani kukokotoa hiyo kodi?
Nijibu Tafadhali!
Kumbe Kuna akili za mkiani!!Income ya tsh 12 bilioni kodi yake ni tsh 2 bilioni?
Msitumie akili za mkiani nyie Bavicha!
Mbowe level yake Ole sabaya.Kumbe Kuna akili za mkiani!!
Hizo unazo ndiyo maana unazijua.
Tunazungumzia hujuma siyo hesabu.
Toa ushahidi Hilo mkuuMbowe level yake Ole sabaya.
TRA inashughulika na akina Mo Dewji, Rugemalira, Bakhresa, Hans Pope na mabilionea wa aina hiyo.
Hiyo assessment ya Income ya tsh 12 bilioni na kodi ya tsh 2 bilioni alitumiwa na makanjanja!
Ilitumwa Kwenye email Binafsi au email ya Kampuni?Mkuu kama nimemsikia vzr Mbowe anasema taarifa zilitumwa kwenye email ambayo yeye nadhani ndio ana password kitu ambacho akiwa segerea asingeweza kusoma hiyo email
Mhasibu anakuwa na access ya email ya tajiri wake?Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.
Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.
Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.
Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Unazani Mbowe alilelewa na fedha ya kinyonge? Katoka Familia Bora ambayo hata Nyerere alikula hapo.Mbowe level yake Ole sabaya.
TRA inashughulika na akina Mo Dewji, Rugemalira, Bakhresa, Hans Pope na mabilionea wa aina hiyo.
Hiyo assessment ya Income ya tsh 12 bilioni na kodi ya tsh 2 bilioni alitumiwa na makanjanja!
Ya nini?Mhasibu anakuwa na access ya email ya tajiri wake?
Hata wewe ukioa kwa tajiri maisha yako yataboreka kama una akili lakini!Unazani Mbowe alilelewa na fedha ya kinyonge? Katoka Familia Bora ambayo hata Nyerere alikula hapo.
We mpuuzi sijui kama huwa unaelewa, amekwambia email ilitumwa akiwa jela na amekuja kuiona baada ya kutoka jela na muda ulishaisha, hata kama ana wahasibu wangeota kuwa leo kuna email imetumwa kwa Mbowe? shame on youNinavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.
Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.
Freeman Mbowe kuwa jela haimaanishi kwamba biashara zake na maswala yake ya kodi yamesimama.
Na siamini kama Freeman Mbowe huwa anakwenda yeye binafsi TRA kushughulikia maswala ya kodi kama Individual taxpayer kwa sababu biashara zake zimeshavuka level hiyo.
Sisemi kwamba Mbowe hajaonewa bali siyo sawa kulitumia jambo hili kujinufaisha kisiasa, anapaswa aongee kama mfanyabiashara mkubwa.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ushahidi wa nini, be specific bwashee!Toa ushahidi Hilo mkuu
Tena kapelekewa kwa njia ya email, mahabusu wanatumia computer?Haujaelewa mantiki ya Mbowe, ni kwamba alipelekewa barua za madai wakati yupo Jela na akahambiwa atoe responses wakati bado yupo Jela, ile anatoka kushakuwa na time lapse na muda wa kujitetea haupo tena. Kilichofuata ni kuchukua pesa zake zote na kumfungia akaunti zake. Kimsingi plan ilipangwa ikapangika. Sasa katika mazingira hayo huyo Muhasibu wa kazi gani?
Kwamba waliotuma email kwa mbowe no makanjanjaUshahidi wa nini, be specific bwashee!
TRA ni uozo mtupu kabisaTRA wezi,Sana na wamekua na ukatili wa ajabu kwa wananchi hasa kwenye awam ya tano,na hii Kama aliyosema mh Mbowe ,ni WATU wengi yamewapata ,so serikali mjiandae kuja kulipa WATU mafidia,kwa ushenzi wa baadhi ya WATU wa TRA kisa maagizo kutoka juu,maana WATU watashitaki,mfano rafiki yangu mwaka jana alipigiwa lipa m300 wakati mtaji wake hata m60 hatufiki,TRA nchi hii ishakua shida,Bila kusukwa upya sijui Kama tutafika