Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

Bila Kiki siasa za Tanzania hutoboi ko kumwona hvo mbowe Yan n Kama walvo wanasiasa wengne
Watu mnashangaza kweli. Mtu anaeleza jinsi alivyonyanyaswa kiuchumi, wewe unasema ni kiki za kisiasa? !

Kwani kama hamuamini alichokisema si ni ushahidi upo? Account zake hazikufungwa? pesa hazikuchukuliwa kwenye acc zake? Baada ya mama Samia kuongea majuzi si ndio zimefunguliwa? Huo ushahidi hautoshi kuthibitisha alichokisema?


Yesu ni Mwokozi
 
Siyo kweli.

Mbowe anamiliki kampuni siyo kioski cha Mangi.

Kampuni za Mbowe zina wahasibu kwa mujibu wa sheria na hao hufanya kazi hizo za kushughulika na mambo ya kodi.
Tatizo akili yako ni fupi au bado una ungosha.
Unazungumzia utaratibu wa kisheria unavyoongoza ktk masuala ya Kodi.

Mbowe analalamikia hujuma.
Sasa jiulishe ndani ya hujuma Kuna kufuata Sheria au taratibu?

Watu was ngosha mwenzako walijua wakituma email kwenye kampuni zitajibiwa kwa wakati, wakaona waitume kwa mbowe huku wakijua hataiona kwa muda was kisheria na hivyo kutimiza hujuma yao. Umekomoaa kubishana kwenye Jambo la wazi kabisa
 
Mbowe awe na mhasibu au asiwe na mhasibu, kwanini TRA watume barua pepe aliwa gerezani badala ya kupeleka madai yao kwa physical address ???
Wanasiasa ni watu waongo sana.

Wewe unamwamini Mbowe anakuambia walimkadiria Income ya tsh 12 bilioni ambayo kodi ya tsh 2 bilioni huoni kuwa anadanganya kabisa.

Hao TRA wametumia rate gani kukokotoa hiyo kodi?

Nijibu Tafadhali!
 
Income ya tsh 12 bilioni kodi yake ni tsh 2 bilioni?

Msitumie akili za mkiani nyie Bavicha!
 
TRA NA WATUMISHI WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA
Hawa wanatakiwa kufanyiwa upembuzi yakinifu Kama vile zifanyiwavyo barabara na miradi mingine.
Wameichafua Sana nchi yetu kwa maslahi yao na jiwe . Waondoshwe wote, nchi inawasomi lukuki watachukua nafasi zao.
 
Wanasiasa ni watu waongo sana.

Wewe unamwamini Mbowe anakuambia walimkadiria Income ya tsh 12 bilioni ambayo kodi ya tsh 2 bilioni huoni kuwa anadanganya kabisa.

Hao TRA wametumia rate gani kukokotoa hiyo kodi?

Nijibu Tafadhali!
Mbowe Mpaka Leo anadaiwa na Nssf Kwenye 2 na hajalipa, Kesi ya Nssf v. Mbowe Hotel na Nssf v. Free Media zote hajalipa contribution kwa Nssf more than 7yrs
 
Kumbe Kuna akili za mkiani!!
Hizo unazo ndiyo maana unazijua.
Tunazungumzia hujuma siyo hesabu.
Mbowe level yake Ole sabaya.

TRA inashughulika na akina Mo Dewji, Rugemalira, Bakhresa, Hans Pope na mabilionea wa aina hiyo.

Hiyo assessment ya Income ya tsh 12 bilioni na kodi ya tsh 2 bilioni alitumiwa na makanjanja!
 
Mbowe level yake Ole sabaya.

TRA inashughulika na akina Mo Dewji, Rugemalira, Bakhresa, Hans Pope na mabilionea wa aina hiyo.

Hiyo assessment ya Income ya tsh 12 bilioni na kodi ya tsh 2 bilioni alitumiwa na makanjanja!
Toa ushahidi Hilo mkuu
 
Mkuu kama nimemsikia vzr Mbowe anasema taarifa zilitumwa kwenye email ambayo yeye nadhani ndio ana password kitu ambacho akiwa segerea asingeweza kusoma hiyo email
Ilitumwa Kwenye email Binafsi au email ya Kampuni?
 
Mhasibu anakuwa na access ya email ya tajiri wake?
 
Mbowe level yake Ole sabaya.

TRA inashughulika na akina Mo Dewji, Rugemalira, Bakhresa, Hans Pope na mabilionea wa aina hiyo.

Hiyo assessment ya Income ya tsh 12 bilioni na kodi ya tsh 2 bilioni alitumiwa na makanjanja!
Unazani Mbowe alilelewa na fedha ya kinyonge? Katoka Familia Bora ambayo hata Nyerere alikula hapo.
 
We mpuuzi sijui kama huwa unaelewa, amekwambia email ilitumwa akiwa jela na amekuja kuiona baada ya kutoka jela na muda ulishaisha, hata kama ana wahasibu wangeota kuwa leo kuna email imetumwa kwa Mbowe? shame on you
 
Tena kapelekewa kwa njia ya email, mahabusu wanatumia computer?
 
TRA ni uozo mtupu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…