Kwaiyo asimsajili pacome na Aziz kiHhatukatai kudaiwa lakini tatizo lipo kwenye ishu serious mpaka mpigwe ban ndiyo mshtiuke aise kwani huyo kamble ana muda gani
NA MIMI NIKISEMA KIAZI ALIYEKUZAA UTAMLAUMU NANIKwa GT angefukunyua angekuja na habari iliyokamilika.
Sasa mkiitwa kiazi mtamlaumu nani?
Mimi ni Yanga Damu. Ila kwenye haya masuala ya kuvunja mikataba ya wachezaji, nadhani viongozi wanazingua.NALIA NGWENA na Tate Mkuu katika ubora wao..hapo majini hayajawavaa...wako vyedi wanatema checheeee
Wenzako ni washabiki wenye kujitambua ndio maana wamesimama kwenye ukweli.Wanachochea migogoro hata hawawajibiki kwa lolote kwa Yanga
Ukute hata kadi ya uanachama hawalipii
JIKITE KWENYE HOJA HAPO JUU KWANI YANGA WAMESAINI MIKATABA MINGAPI WASHINDWE KUMLIPA MTU AMBAYE WALIMSAJILI KWA MIKATABA YAO WENYEWEKwaiyo asimsajili pacome na Aziz ki
Kipaumbele kiwe kulipa galasa Kambole ambaye hakucheza hata mechi mbili
Nawe unaniaibisha.Mimi ni Yanga Damu. Ila kwenye haya masuala ya kuvunja mikataba ya wachezaji, nadhani viongozi wanazingua.
HILI NALO NENOWanaingiza watu bure uwanjani wakati Wana.madeni.
Ilikuwaje sasa wakalisajili hilo garasa Kambole? Kama walikosea kumsajili, ni kosa lao viongozi! Hivyo wanatakiwa wamlipe mchezaji stahiki zake. Maana waliingia naye mkataba wa kisheria.Kwaiyo asimsajili pacome na Aziz ki
Kipaumbele kiwe kulipa galasa Kambole ambaye hakucheza hata mechi mbili
WEWE HABRI ZAKO ZA KWENYE APP NI ZIPNawe unaniaibisha.
MwanaYanga ama MwanaSimba lazima atakuwa na App ya Klabu yake akipata taarifa zilizo sahihi.
Kwanza unayo Yanga App?
Usisahau upande mwingine ni muungano fcKambole FC.. tumepata aka nyingine
No, hii haipo sawa. Madeni yawepo lakini si kwa gharama ya wachezaji.Hakuna taasisi isiyodaiwa
Madeni ni kitu ya kawaida
Ukisoma club kubwa kama Madrid, man u, Inter Milan, n.k
Tena Yanga ina madeni machache
Siunawaona wanaogopa kudaiwa wamemg'ang'ania flop kama Miquison, saidoo, jobe nk
Ngoja nikusaidie rafikiIlikuwaje sasa wakalisajili hilo garasa Kambole? Kama walikosea kumsajili, ni kosa lao viongozi! Hivyo wanatakiwa wamlipe mchezaji stahiki zake. Maana waliingia naye mkataba wa kisheria.
WW sio kilaza mkuu...natambua hiloMimi ni Yanga Damu. Ila kwenye haya masuala ya kuvunja mikataba ya wachezaji, nadhani viongozi wanazingua.
Suala hapa ni timu ya Yanga kuwalipa stahiki wachezaji walio malizana nao. Masuala ya kufungiwa na FIFA mara kwa mara siyo jambo la kujivunia kwa timu inayojipambanua kuwa na uongozi imara.
No, hii haipo sawa. Madeni yawepo lakini si kwa gharama ya wachezaji.
Hao wachezaji wana mcjango mkubwa sana kwenye branding ya club. Hili la timu kdaiwa na wachezaji wake, linaweza likakimbiza wadhamuni. Mdhsmini anakuwa ni sehemu ya club, club inappfanikiwa mdhamini naye hutambuliwa na kushukuliwa. Sidhani kama kuna mdhamini atakayependa kuwa sehemu ya wachezaji kudhuru
Ushaambiwa atalipwaJIKITE KWENYE HOJA HAPO JUU KWANI YANGA WAMESAINI MIKATABA MINGAPI WASHINDWE KUMLIPA MTU AMBAYE WALIMSAJILI KWA MIKATABA YAO WENYEWE
Uliahidi iliyopo clear....unafanya nisubscribe Uzi, lakini wapi sioni kituHebu nambie vzr mtani...kwani niliahidi kuleta yenye macho mawili yote? Twende basi
Acheni kuwasakama viongozi baada tu ya mazuri yote waliyoyafanikisha hayo ni mambo madogo madogo ambayo pengine na sisi tunachangia kwa kutolipa ada zetu za uanachama.Viongozi wa Yanga waache ubabaishaji. Walipe madeni ya hao wachezaji haraka iwezekanavyo. Siyo poa kabisa kuichafua timu, kwa sababu tu ya ubabaishaji wao.
Aziz Ki is a long gone story, here in between Yanga imepata mafanikio makubwa ndani na nje ya uwanja, mafanikio ambayo pia yame reflect account ya club.Ushaambiwa atalipwa
Tatizo vipaumbele haya assume una million 400
Kambole anakudai hela ya kuvunja mkataba
Aziz ki yupo sokoni anauzwa million 400
Utaanza na lipi?