Ina maana mikataba yote waliyosaini Yanga sc wamekosa pesa ya kumlipa Kambole au ni mikataba hewa?

Ina maana mikataba yote waliyosaini Yanga sc wamekosa pesa ya kumlipa Kambole au ni mikataba hewa?

Kwaiyo asimsajili pacome na Aziz ki
Kipaumbele kiwe kulipa galasa Kambole ambaye hakucheza hata mechi mbili
JIKITE KWENYE HOJA HAPO JUU KWANI YANGA WAMESAINI MIKATABA MINGAPI WASHINDWE KUMLIPA MTU AMBAYE WALIMSAJILI KWA MIKATABA YAO WENYEWE
 
Nawe unaniaibisha.

MwanaYanga ama MwanaSimba lazima atakuwa na App ya Klabu yake akipata taarifa zilizo sahihi.

Kwanza unayo Yanga App?
WEWE HABRI ZAKO ZA KWENYE APP NI ZIP
 
Hakuna taasisi isiyodaiwa
Madeni ni kitu ya kawaida
Ukisoma club kubwa kama Madrid, man u, Inter Milan, n.k
Tena Yanga ina madeni machache
Siunawaona wanaogopa kudaiwa wamemg'ang'ania flop kama Miquison, saidoo, jobe nk
No, hii haipo sawa. Madeni yawepo lakini si kwa gharama ya wachezaji.
Hao wachezaji wana mcjango mkubwa sana kwenye branding ya club. Hili la timu kdaiwa na wachezaji wake, linaweza likakimbiza wadhamuni. Mdhsmini anakuwa ni sehemu ya club, club inappfanikiwa mdhamini naye hutambuliwa na kushukuliwa. Sidhani kama kuna mdhamini atakayependa kuwa sehemu ya wachezaji kudhurumia.
 
Ilikuwaje sasa wakalisajili hilo garasa Kambole? Kama walikosea kumsajili, ni kosa lao viongozi! Hivyo wanatakiwa wamlipe mchezaji stahiki zake. Maana waliingia naye mkataba wa kisheria.
Ngoja nikusaidie rafiki

Screenshot_20240501_160347_Instagram.jpg
 
No, hii haipo sawa. Madeni yawepo lakini si kwa gharama ya wachezaji.
Hao wachezaji wana mcjango mkubwa sana kwenye branding ya club. Hili la timu kdaiwa na wachezaji wake, linaweza likakimbiza wadhamuni. Mdhsmini anakuwa ni sehemu ya club, club inappfanikiwa mdhamini naye hutambuliwa na kushukuliwa. Sidhani kama kuna mdhamini atakayependa kuwa sehemu ya wachezaji kudhuru

JIKITE KWENYE HOJA HAPO JUU KWANI YANGA WAMESAINI MIKATABA MINGAPI WASHINDWE KUMLIPA MTU AMBAYE WALIMSAJILI KWA MIKATABA YAO WENYEWE
Ushaambiwa atalipwa
Tatizo vipaumbele haya assume una million 400
Kambole anakudai hela ya kuvunja mkataba
Aziz ki yupo sokoni anauzwa million 400

Utaanza na lipi?
 
Viongozi wa Yanga waache ubabaishaji. Walipe madeni ya hao wachezaji haraka iwezekanavyo. Siyo poa kabisa kuichafua timu, kwa sababu tu ya ubabaishaji wao.
Acheni kuwasakama viongozi baada tu ya mazuri yote waliyoyafanikisha hayo ni mambo madogo madogo ambayo pengine na sisi tunachangia kwa kutolipa ada zetu za uanachama.
Jambo la uhakika wakiulizwa wanafamilia mnaowangoza watasema nanyi mna ubabaishaji mkubwa ila wanakosa namna ya kuchukua nafasi zenu kwa kuwa mlipewa na Mamlaka kuu hadi itakapotengua nyazifa zenu.
 
Ushaambiwa atalipwa
Tatizo vipaumbele haya assume una million 400
Kambole anakudai hela ya kuvunja mkataba
Aziz ki yupo sokoni anauzwa million 400

Utaanza na lipi?
Aziz Ki is a long gone story, here in between Yanga imepata mafanikio makubwa ndani na nje ya uwanja, mafanikio ambayo pia yame reflect account ya club.
Swali ni kwanini mchezaji asilipwe madai yake hadi kuifikisha image ya timu kuanza kuwekwa in brackes?
Kati ya vitu ambavyo wanachama na mashabiki tunahesabu kuwa ni mafanikio, ni pamoja na haki na maslahi ya wachezaji waliopo na waliopita yanapozingatiwa.
Narudia, hakuna mfadhali anayependa kuwa sehemu ya ukandamizaji wa wachezaji.
 
Back
Top Bottom