4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Naungana nawe hapo kwenye katiba mkuuPengine ki'protocal haikutakiwa aitwe hivyo kutegemea na mazingira.
Wameanza na Mbatia kwa sababu pia ni moja ya wanasiasa wasioyumbishwa kwenye suala la kupigania KATIBA MPYA.. Mambo ni mengi nyuma ya pazia.!
uliwahi kumsikia Mbatia akiizungumzia hiyo katiba mpya kipindi cha magufuli ?. Mbna mnajitoa akili nyinyi .Pengine ki'protocal haikutakiwa aitwe hivyo kutegemea na mazingira.
Wameanza na Mbatia kwa sababu pia ni moja ya wanasiasa wasioyumbishwa kwenye suala la kupigania KATIBA MPYA.. Mambo ni mengi nyuma ya pazia.!
Miaka nane nyuma, Mbatia anapigania Katiba mpya, pengine hufuatilii.uliwahi kumsikia Mbatia akiizungumzia hiyo katiba mpya kipindi cha magufuli ?. Mbna mnajitoa akili nyinyi .
Sasa kama umri sana kwanini umuite dadaLakini Mbatia anaokena kakosea.
Hizi Ngojera sijui zitaisha lini?
Nawe ropokaLisu ni mropokaji
Nimekuuliza hivi wakati wa magufuli uliwahi kumsikia akitaja hiyo katiba mpya .?Miaka nane nyuma, Mbatia anapigania Katiba mpya, pengine hufuatilii.
Unamtaja Magufuli kwamba alimziba mdomo Mbatia kipindi chake?
Tuwekee ayo matusi aliyawatukana CCMMbatia anawadai CCM, walimuahidi makubwa baada ya uchaguzi 2020 ila sasa wamemgeuka na yeye ameanza kuwatukana ILI watepete, matokeo take NYAHOZA kafanya yake.
Nenda Facebook page ya Thadei Ole Mushi utaona video zote za hayo matusi.Tuwekee ayo matusi aliyawatukana CCM