4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Naungana nawe hapo kwenye katiba mkuuPengine ki'protocal haikutakiwa aitwe hivyo kutegemea na mazingira.
Wameanza na Mbatia kwa sababu pia ni moja ya wanasiasa wasioyumbishwa kwenye suala la kupigania KATIBA MPYA.. Mambo ni mengi nyuma ya pazia.!