Ina maana Rais Samia hamtaki Mbatia na anataka wapinzani wataokuwa wakisema yes kwa kila jambo? Rais wa chama tawala anapanga safu ya wapinzani?

Ina maana Rais Samia hamtaki Mbatia na anataka wapinzani wataokuwa wakisema yes kwa kila jambo? Rais wa chama tawala anapanga safu ya wapinzani?

Pengine ki'protocal haikutakiwa aitwe hivyo kutegemea na mazingira.

Wameanza na Mbatia kwa sababu pia ni moja ya wanasiasa wasioyumbishwa kwenye suala la kupigania KATIBA MPYA.. Mambo ni mengi nyuma ya pazia.!
uliwahi kumsikia Mbatia akiizungumzia hiyo katiba mpya kipindi cha magufuli ?. Mbna mnajitoa akili nyinyi .
 
uliwahi kumsikia Mbatia akiizungumzia hiyo katiba mpya kipindi cha magufuli ?. Mbna mnajitoa akili nyinyi .
Miaka nane nyuma, Mbatia anapigania Katiba mpya, pengine hufuatilii.

Unamtaja Magufuli kwamba alimziba mdomo Mbatia kipindi chake?
 
Miaka nane nyuma, Mbatia anapigania Katiba mpya, pengine hufuatilii.

Unamtaja Magufuli kwamba alimziba mdomo Mbatia kipindi chake?
Nimekuuliza hivi wakati wa magufuli uliwahi kumsikia akitaja hiyo katiba mpya .?
Mbatia kuipigania katiba mpya miaka nane nyuma hatukatai lakini je katiba hiyo Mbona hatukumsikia akiizungumzia kipindi cha magufuli ?. Maana ukisema kuipigania katiba miaka nane nyuma hakuna watu waliokuwa mstari wa mbele kama akina Polepole na Paramagamba lakini alipoingia magufuli na kuwapa ulaji uliwahi kuwasikia wakiipigia hiyo katiba mpya chapuo.?. Kwangu Mimi Mbatia , Paramagamba, Polepole , Dr slaa etc hawa ni wachumia tumbo tu wala usiseme eti ni wapiganiaji kwa ajili ya wananchi . NEVER EVER.
 
Huo ndio mchezo wa system kila mara akitokea mpinzani wa kuwasumbua, walishindwa kwa Chadema pekee.
 
Back
Top Bottom