Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu


Non of your bussiness kujua nani aende wapi?kama kila mtu angestahiki hyo mamlaka ni ww ndo ungeenda sasa heshimu
 
Hawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!
Hakuna siasa baada ya uchaguz ni tanzania tuuu
 
Hawa dawa n kuwanyoosha 264

Yaani ninajiuliza sana kuhusu hawa watu wawili Bashite na Mwingulu kuanzia wapewe hizo nyathifa ni serikali ni matatizo matupu kwa raia na wapinzani.

Yaani tukubaliane tukatae hawa watu sio waziri hasa hasa Mwingulu ni wakuangalia sana. Ana roho mbaya sana na inawezekana ndiye anampa kiburi Magufuli.

Tuombe Taasisi, Wamaharakati, wanasheria na raia tuungane tumwondoe huyu mtu ni hatariiiiii kwa amani ya nchi yetu.

Tunakoelekea hali inaweza kuwa mbaya zaidi kwa sababu raia wanazidi kuwa na chuki. Maaskari wakumbuke wana watoto na wapo huku uraiani na wanashirikiana na watoto wetu.

Mwingulu hufai kabisa kuwa kiongozi. Elimu yako kama ya MTU ambaye hujaenda shule. Huwezi kuburuzwa na wakuu wa mikoa na wilaya kawajenga uadui kati ya Raia na Polisi.
 
KWANI WEWE MTOA POST, ALIYESADIKIWA KUMSHIKIA BASTOLA NAPE KIPINDI KILE SI HAJULIKANI NA TULIAMBIWA MWENYE TAARIFA ZAKE ATOE USHIRIKIANO, SASA KAFIKAJE HAPO? ATAKUWA SIO HUYU BWANA!
 

Kwa kifupi tu Zitto aliwaita "Washamba"
 
Mkuu ROU, huu ni uongo!, mtu aliyemtishia Nape bastola sio Henri Kisanduka!, yule ni mtu asiyejulikana na wala sio polisi, yule bado anatufutwa!. Nakuomba sana usiwasingizie polisi wetu Wema kuwa ndio watu wasiojulikana!, usimsingizie Waziri wetu wa Mambo ya ndani. Mhe. Dr. Mwigulu Mugulo Lameck Madelu Mkumbo Mchemba kuwa ni mtu muongo, alisema yule sio polisi. Waziri akisema fulani sio polisi, huyo fulani sio polisi, kauli ya waziri ndio ya kweli!, tena ukweli wa Waziri Mwigulu, unaweza kuthibitishwa hapa Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Hivyo maadam waziri amesema yule sio polisi, ni mtu asiyejulikana, then yule sio polisi ni mtu asiyejulikana, hata kama picha zile zinafanana 100% na Henri Kisanduka, then zile picha zote zilizopigwa kwenye tukio la Nape, kumuonyeshea Henri Kisanduka, zote zile ni photo shop tuu!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.

Paskali
 
Aibu yao [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tundu Lissu nae aliwahi kusema"alishuka mtu toka gari nyeupe akiwa amevalia kofia ikiwa imefunika uso na bunduki mkononi........'
 
Kuna ukweli wa haya mambo ?
Tusije tukahukumu wasiokuwemo.
 
Kuna aibu nyingi na uozo mwingi vitaibuka tawala hii.
Mabavu yakizidi maarifa hupotea
 
Kikao cha siri ofisini kwa DCI Alhamisi kiliamua Mbowe na wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne 17:03:2018, wanyimwe dhamana, kupima joto. Leo Jumatatu katika kikao cha Mwanza, ukumbi wa BoT, kwa maagizo kutoka juu, azimio ni "kamata, funga, poteza, ua watu hawa" kabla ya 26:04:08
Wameshapalekwa mahakamani,wameshanyimwa dhamana,wameshakamatwa pengine bado kupotezwa,kuuwawa kabla ya tarehe pendwa.Pengine sniper yupo hapo kukamilisha plani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…