Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
[emoji123]Hakika rafiki tukutane 264...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji123]Hakika rafiki tukutane 264...
Hahaha naona jamaa kaagiza ugali mbili hapoView attachment 726986
View attachment 726987
View attachment 726988
View attachment 726990
Mambo ya Expansion joint haya
Tupate burudani kidogo kutoka kwa wadhamini
View attachment 726991
HahahahahaaaaaHahaha naona jamaa kaagiza ugali mbili hapo
Naomba tufufue uzi wetu tafadhani, humu ni kwa kujaza tu stress[emoji123]
View attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Hakuna siasa baada ya uchaguz ni tanzania tuuuHawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!
Hata kule Nairobi kwa Lissu mlimuona pia!!
mna DE JAVUU??
Hawa dawa n kuwanyoosha 264
Hawa watu zamu yao inakuja.
Nasisitiza tena kuwa,Mungu kawanyima hawa watu maarifa ili waanguke.
Those people who do not want to see political changes are taking place in our country, are the ones who unknowingly facilitating those changes.
This arrogance and complacency that they are showing us today, will one day be responsible for their downfall.
They are complacent about remaining in power till the day this world comes to an end something that is not true at all and that is even against the laws of nature.
Mkuu ROU, huu ni uongo!, mtu aliyemtishia Nape bastola sio Henri Kisanduka!, yule ni mtu asiyejulikana na wala sio polisi, yule bado anatufutwa!. Nakuomba sana usiwasingizie polisi wetu Wema kuwa ndio watu wasiojulikana!, usimsingizie Waziri wetu wa Mambo ya ndani. Mhe. Dr. Mwigulu Mugulo Lameck Madelu Mkumbo Mchemba kuwa ni mtu muongo, alisema yule sio polisi. Waziri akisema fulani sio polisi, huyo fulani sio polisi, kauli ya waziri ndio ya kweli!, tena ukweli wa Waziri Mwigulu, unaweza kuthibitishwa hapa Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweliView attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Aibu yao [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 726981

Tundu Lissu nae aliwahi kusema"alishuka mtu toka gari nyeupe akiwa amevalia kofia ikiwa imefunika uso na bunduki mkononi........'Huyu bwana sniper ni mystery sijui siyo mystery..agh awamu ya tano inachekesha sana
baada ya issue ya nape na waziri kusema huyu jamaa kapatikana,Igp kusema anatafutwa,Rpc wa kinondoni kusema hawamjui,bodigadi huyu wa bashite ambaye hata kina wolper watakuapia kwa Mungu jinsi alivyo na masifa akiwaona wasanii enzi hizo bashite anajichanganya nao leaders club kula mvinyo, alienda downlow
kama kawaida ya wadanganyika wakasahau na mtu mzito kama Nape hakuona justice ikitendeka kwake
leo bwana huyu kaibukia kwa kina mbowe,yarabi toba sijui mission yake ilikuwa ni nini,ila kwa picha hii,you can tell ni chuki ya hali ya juu,wafute tu vyama vingi,shida yote ya nini kama hamtaki ushindani na kupingwa na mlivyo wepesi ,uchaguzi huru mnatoka saa nne asubuhi hata bwana Humphrey polepole aliwahi sema hilo neno
mcheki na mkofia wake wa kolomije anavyomuangalia mbowe vibaya
View attachment 727125
Ujinga wako peleka uko,hata mtoto mchanga alezaliwa jana anakuzidi ufahamuSio huyo aliyemtolea Nape bastola
Nina uhakika 100%
Uzushi
Kuna aibu nyingi na uozo mwingi vitaibuka tawala hii.View attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Kikao cha siri ofisini kwa DCI Alhamisi kiliamua Mbowe na wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne 17:03:2018, wanyimwe dhamana, kupima joto. Leo Jumatatu katika kikao cha Mwanza, ukumbi wa BoT, kwa maagizo kutoka juu, azimio ni "kamata, funga, poteza, ua watu hawa" kabla ya 26:04:08View attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Upelelezi woooote unaoujua hapa duniani huwa ni kuunganisha nukata(connect the dots) Tafuta Tundu Lisu aliwahi mtaja mtu alievaa kofia kufunika uso kisha aka pull the trriger.Kuna ukweli wa haya mambo ?
Tusije tukahukumu wasiokuwemo.