serikali inaona inawakomoa kumbe inawakomaza, shit holeHawa ndugu zetu wa ccm hawajui kuwa kadri wanavyowatesa wapinzani ndivyo wanavyozidi kuwa popularity na kuwa kuza zaidi,walipaswa kuwaacha wanasiasa wafanye siasa kwa amani!
EBU CHOKA NA UGEUKE TUONE UBABE WAKONjia bora ya mke kukuchoka nikumzoesha ubabe, kejeli, mateso. Siku akichoka hakika utajuta. Atageuka kuwa mbabe zaidi yako let them stay tuned.
na wewe fala tu sasa mbona waziri alikataa kwamba sio mwanausalamaKwa sababu we uliambiwa na mamako sio.
Mbona hujaweka picha ya unavyodai tujionee wenyewe.. endeleeni kudanganyana tu..
Ngoja nifanye "mikakati yangu" kwaajili ya sampuli za watu wa namna hii.Huyo hapo na cap zake za kikolomijeView attachment 727067View attachment 727077
Matusi ya nini sasa?? Kwani angeamua kumfyatulia risasi pale kulikuwa na kizuizi chochote..?? Si angefyatua angeamua..mnaongea tu..na wewe fala tu sasa mbona waziri alikataa kwamba sio mwanausalama
mcheki hapa sniper akiwa na the same tshet n 'kapero'
Mpaka 29/3Vip wamepata dhamana?
Toka lini Nyani akaona kund ule?Sijawahi kuona faida ya huu uongo unaoenezwa kila Mara.
Bado na hata ikiwekwa una haki ya kusema sio yeye.Mbona hujaweka picha ya unavyodai tujionee wenyewe.. endeleeni kudanganyana tu..
Hata wewe ni unknown people wewe ndo ulimtoboa Olimboka...we ngojea zamu yako itafk utakufa kama mende.Hii ' Njemba ' inaonekana hata ' Kinyesi ' chake Kimekomaa sana na huwa kinasumbua mno ' Kuflashika ' Msalani / Maliwatoni.
Mwanausalama kwamba pale kulikuwa kuna hatari gani na kuelekea kwa nani au dhidi ya nani?Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Kama hawakuwi basi itisheni uchaguzi ambao ni free and fair election, Police na tume ya Taifa ya uchaguzi wasiwe ma-referee...hakika Ccm mtajikojolea,pia ukiona m2 anaisifu ccm basi ujuwe ananufaika nayo!Mbona hawakuwi siku zote hizi? Wishful thinking.
Walishakuwa maarufu tangu ktambo ndyo maana mama zenu na Baba zenu wanapumulia visogoni kwa kuwaogopa hawa majamaa!sasa kwann unataka wafanye kwa amani wakati hawatakuwa maarufu???
Endelea kuota na kingereza chako cha is na was,Hawa watu zamu yao inakuja.
Nasisitiza tena kuwa,Mungu kawanyima hawa watu maarifa ili waanguke.
Those who do not want political changes to occur in our country, are the ones who unknowingly facilitating those changes.
This arrogance and complacency that they are showing us today, will one day be responsible for their downfall.
They are complacent about remaining in power till the day this world comes to an end something that is not true at all and that is even against the laws of nature.
IllusionView attachment 726981
Yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!