Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Nani aliyekwambia bastora ni kitambulisho?
 
Wewe endelea kujitoa ufahamu kisa unapewa buku 7 hapo ofisini kwenu.

Shwain....
Mkuu Mussolin5 huyo bwana yupo sahihi,hao ni watu wawili tofauti kabisa.

Na pengine mhusika anafurahi sana baada ya kufanikiwa kuwakoroga raia.
 
Unasema alichomoa bastola na kutishia kumpiga nape.!! We ni KE au ME?? Hivi uliona vizuri..aliitoa baada ya nape kumuuliza ye ni nani..kwamba ye ni mwana usalama ndio maana yuko pale..na aliitoa na kuirudisha kiunoni mara moja.
Wewe nawe kichwa chako kibovu kweli,nani alikwambia bastola ni utambulisho wa mwana usalama?
 
hii ndio shida ya Akili ndogo inapotaka kuitawala akili kubwa ''"
 
Goodnight, Kasie !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…