Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Ninachokiona kwako na wenzio ni kuwa mnadhani maisha yenu yatabaki kama yalivyo. Maisha haya ni kama kinyonga!! Hebu fikiri mwenyewe uone kama siku moja Mugabe angeweza kulalamika?! Kuwa kwako CCM kusikuondolee akili na hata utu!! Huwezi juwa mwanao au nduguyo mwingine atakuwa na itikadi gani?! Fikiria na wengineKamanda twende tuandamane tukamtoe Mbowe korokoroni.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya Rogue elements.Kitengo ndani ya Kitengo.
Sasa naanza kuamini maneno ya Chahali kuwa kuna Kitengo ndani ya Kitengo.
Kitengo Kimoja kina mamlaka makubwa kuliko kile Kitengo tulichokizoea cha Dstv.
Kwa mtindo huu the so called Kikosi Maalum a.k.a Watu wasiojulikana watatutesa mno.
Tusipoteze muda mwingi nyuma ya keyboard kamanda. Twende tukaandamane tumtoe Mbowe. Piiiiipoz!Ninachokiona kwako na wenzio ni kuwa mnadhani maisha yenu yatabaki kama yalivyo. Maisha haya ni kama kinyonga!! Hebu fikiri mwenyewe uone kama siku moja Mugabe angeweza kulalamika?! Kuwa kwako CCM kusikuondolee akili na hata utu!! Huwezi juwa mwanao au nduguyo mwingine atakuwa na itikadi gani?! Fikiria na wengine
Akili kama yako ni hasara kwa nchi hii!! Sishangai mnapowahimiza maaskofu kuombea viwanda vishuke kama mana!!!Tusipoteze muda mwingi nyuma ya keyboard kamanda. Twende tukaandamane tumtoe Mbowe. Piiiiipoz!
Piiiiipoz!Akili kama yako ni hasara kwa nchi hii!! Sishangai mnapowahimiza maaskofu kuombea viwanda vishuke kama mana!!!
Simu yako kiboko ni wewe tu ndo huoni hizo picha
Ndiyo yeye kwa 100% na usiku huu atapandishwa ndege kwenda kufichwa mbali asionekane tena nchini maana makonda hana raha baada ya siri zake kuvujaIla kuna uwezekano mkubwa huyu mtu alihusika kule Dodoma
Halafu kuna watu bado wanahoji mauaji ya watu wasiojulika nani yuko nyuma yake?!
View attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
Jikelao upoHata kule Nairobi kwa Lissu mlimuona pia!!
mna DE JAVUU??
mcheki hapa sniper akiwa na the same tshet n 'kapero'
[/QUOTe
Kamwambia Mhutu aka Raisi Kichaa wako wapi Madikteta walio wahi kutumia watu kama nyinyi kuuawa watu. Hivi nyinyi watu wachache hivi mnadiliki kuichezea nchi ya Julius Kambarage Nyerere. Nawaambia Mungu wetu huwa hadhihakiwi kamwe. It is the matter of time. Mhutu, Bashite and his killing squard team including IGP SIRO, MWIGULU NCHEMBA AND KAMANDA MAMBO SASA WILL FACE THE HAGUE UNDER ICC. INTERNATIONAL CRIMINAL COURT.
Una maana ya yule aliyekanwa na [B]Mwigulu Nchemba[/B]? Kama ni yeye kazi ipo!Ngoja nisake picha za yule aliemtishia Nape benduki na ile picha ambayo Makonda yuko na Siro wakilindwa!!
Huyuu sniper ni polisi au??
View attachment 726981
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani ? Katumwa na nani ?
Henry Kisanduku mtu aliyemchomolea bastola Nape Nnauye na kutishia kumpiga risasi, ndiye aliyepewa jukumu la kuwapeleka akina Mbowe mahakamani kutoka kituo kikuu cha Polisi Dar. Mwaka jana Waziri Mwigulu Nchemba alikanusha vikali kwamba mtu huyo si askari polisi.
Ikiwa si polisi kama alivyosema Nape, kwanini afanye kazi za Polisi? Kwanini apewe jukumu la kuwaescort akina Mbowe kwenda mahakamani? Polisi wamempaje kazi mtu asiye polisi apeleke watuhumiwa mahakamani? Huu ujasiri wa kufanya kazi za polisi wakati si polisi ameutoa wapi? Na kwani ni kwenye kesi ya akina Mbowe na si nyingine? I smell something fishy.!!
SIYO KWELI HAWAOGOPI CHOCHOTE HAWA WOTE.Ndiyo yeye kwa 100% na usiku huu atapandishwa ndege kwenda kufichwa mbali asionekane tena nchini maana makonda hana raha baada ya siri zake kuvuja