Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Kama amewahi kwenda ndivyo sivyo atashitakiwa tu. Hana kinga.
 
Na huyo aliyekwapua nyumba za Serikali na kununua kivuko uozo kwa 8 bilioni sheria haistahili kuchukua mkondo wake!? 😳
Iko siku watarudisha mali zote walizowaibia watanzania,na mali zote walizojimilikisha sisiem zitarudi mikononi mwa watanzania.Hapo ndipo huo usemi wao wa MAENDELEO HAYANA CHAMA utakapokuwa KWELI.
 
 
Membe kawa malaika kipindi hiki, Tanzania haishi vituko
 

Kama haya tunayoyasikia kuhusu misukosuko na mipango inayofanywa kwa lengo la kuhakikisha Magufuli hapati upinzani mkali toka ndani na nje ya chama chake kwenye uchaguzo 2020, basi moja kati ya haya ni kweli;

1. Magufuli ni mwoga wa chaguzi, anajua hawezi kushindana kilalali akashinda,

2. Chaguzi zote alizoshiriki tangu akiwa mbunge hadi urais, huwa ama ananunua au kuondosha wapinzani wake makini, na kwa hiyo hajawahi kushinda uchaguzi wowote kihalali, na hana uhakika kama akishiriki kihalali ktk uchaguzi wowote ataweza kushinda.
 
Na hawamu hii kumwangushia mtu jumba bovu, kuwa amekimbia na fedha za wakulima wa korosho, hawaoni hatari.
 
Uzushi huharibu amanii ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe aachane na siasa, kwa mizania ya kisiasa ktk nchi hii ilivyo hawezi kuupata urais na inavyoonekana hana tena future ktk siasa.

Magufuli ameona amtoe kafara kwani hakuna kitu Magufuli anaogopa kama ushindani, yani nafuu umpeleke The Hague kule ICC kuliko kumuwekea mpinzani ktk uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…