Baada ya uke ukimya hatujaskia wakimpetea mazoea yoyite, possible behind the scene walimnyoshaMtoto wao mwenyewe alitajwa na Makonda kwny list ya wauza madawa ya kulevya kwani ulimsikia JK akiongea chochote,kimyaaaaaa.
Thamani ya swali lako ni $1miilion ama kweli yajayo yanafurahisha na kusikitisha pia.Jamaa ni muoga
Je Familia ya JK itamuacha mwenzao azame?
Nimewai sikia mtu alishinda uchaguzi akiwa gerezani/mahabusu, nae agombee tu, atashinda akiwa huko huko, kura yangu anayo, kuepusha manung'uniko.Habari wakuu,
Anaandika kada wa CCM, Bolleni Ngeti
Uoga ukikuzidi unaweza kujikuta unajikimbia. Mchakato wa kumfungulia kesi ya utakatishaji wa Fedha (Money Laundering), Bernard Membe kuhusu kesi mfu ya MEIS ya kiwanda cha saruji mkoani Lindi umeiva.
Habari nilizozipata ni kwamba hiyo ndiyo silaha ya mwisho kumzuia Membe asigombee Urais kupitia CCM. Wadadisi wa mambo wananiambia uamuzi huu unaweza kumaanisha usemi wa Niguse Ninuke.
Kesi za ufisadi uhujumu. Halafu ana danganya ati nae ni mfungwa mtarajiwa.. HovyooooUWOGA WA WANINI KM ANAKUBALIKA?
Tukichukua Nchi, huyu si wa kuachilia![emoji135]Kesi za ufisadi uhujumu. Halafu ana danganya ati nae ni mfungwa mtarajiwa.. Hovyoooo
Hii ni kuhusu Membe. Kila jambo na wakati wake. Awe mwingine amekwapua nyumba hiyo haimfanyi Membe kutoface sharia kama kweli alihujumu uchumi.
Tuone basi na ya MV Bandari salama, nyumba za serikali na ma road chini ya kiwangoHakuna anayemuogopa Membe, kama kweli wanajiandaa kumfungulia kesi basi angalau mahakama itasaidia kumuondoa kwenye hizi tetesi na kuwa huru iwapo ni msafi, kama ni kweli alikwapua basi jela ni yetu sote!
Chadema bana...yaani ni rahisi sana nyie kudanganywa...hata ikiwa hivyo hamuoni kuwa ni sawa kwa wakosaji kuwajibishwa?Jamaa mwoga balaa!
Mbona anafanya vyema tu hofu ya nini.?
Niguse ninuke
Hii kauli inahusiana na wale wajeda waliotoroka na vifaru 9, BM -21 na dhana zingine then kujichimbia porini ?
Umesahau na Buk-23 na itakua ilikua huko yugoslavia .Niguse ninuke
Hii kauli inahusiana na wale wajeda waliotoroka na vifaru 9, BM -21 na dhana zingine then kujichimbia porini ?
Yaani hunaga kingine cha kuongea zaidi ya kuniambia uzee. Nilishakuambia mimi mzee.Kila siku ukiniquote ni uzee uzee. Jamani wewe. This is last time nakureply kuhusu uzee unless uandike vitu vingine. Stress mbaya. Upo wapi tukapate bia mbili tatu Tabata?Ufikie uzee mara ngapi? Mada ni Membe kweli, ila nimekuambia kwa uzee wako sio wa kushabikia dhuluma.
Ufikie uzee mara ngapi? Mada ni Membe kweli, ila nimekuambia kwa uzee wako sio wa kushabikia dhuluma.
Haihusiani? Ni wangapi wanaface sharia kukiwa na ushahidi? Una ushahidi peleka kwa DPP kesi itafunguliwa. Two wrongs dont make a right.Sheria za nchi alitungiwa Membe tu na wengine watenda maovu ni UNTOUCHABLES!?
😳