Tetesi: Inadaiwa Bernard Membe atakuja kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sielewi kabisa kilichompindua huyu mrembo hadi aanze kuandika haya. Ni mmoja wa wadada wachache wanaoingia kwenye jukwaa la siasa kwa kujiamini na uwezo wa kujenga hoja nzito anao sana tu. Ghafla bin VU wamempindua!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ogopa sana mlokole akianza kunywa pombe ni aibu.!
 
Kama kweli vile... Lowasa alikwenda cdm kwa mipango tu, so picha ndio hilo hilo
 
Mkuu hizo ndio siasa za nchi yetu, wanasiasa wetu ni vigeugeu wanajali maslahi yao tu.

Huyo kama ni mtumishi wa serikali huenda alijichanganya Id yake ikagundulika na wenzie... hisia tu lakini.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya pita lumumba kesho mapema ukachukue buku 7 zako kwa kuniambia mie sina jipya bali weye ndiyo mwenye jipya la kutumika na nduli kutetea maovu yake.

Duh, utawala bora?
Kungekuwepo na utawala bora manunuzi ya Bombadier pesa zingeidhinishwa na bunge kwanza
Na tusingejitoa kwenye mkataba wa Open Governance (Serikali ya Uwazi)
 
Kama kweli vile... Lowasa alikwenda cdm kwa mipango tu, so picha ndio hilo hilo
Hakuna mpango wowote, Lowassa alienda CHADEMA kupata nafasi ya kugombea urais baada ya kuikosa huko CCM.
 
Kweli kabisa na wewe unataka Membe awe Rais? Si bora hata Magufuli mara elfu. Kusema ukweli kusikia Membe anataka kuwa Rais kumenibadilisha mno.
 
Reactions: BAK
Mkuu hizo ndio siasa za nchi yetu, wanasiasa wetu ni vigeugeu wanajali maslahi yao tu.

Huyo kama ni mtumishi wa serikali huenda alijichanganya Id yake ikagundulika na wenzie... hisia tu lakini.
Wala hakuna. Na wewe mkuu unakubaliana Membe awe Rais wa nchi hii?
 
Wakati wake na yeye utafika tu,ununuzi wa srepa alioiita meli,kugawana nyumba za uma
La meli,nyumba. 2015.walimchagua hizo scandales zilikuwepo. Suala la Nyumba Sumaye alisema lilikuwa wazo la Sumaye na Mkapa.
 
Na kuyaona maovu ya Membe lakini kuyafumbia macho maovu ya bugirichato kisa ni homeboy wako!? πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰

Kweli kabisa na wewe unataka Membe awe Rais? Si bora hata Magufuli mara elfu. Kusema ukweli kusikia Membe anataka kuwa Rais kumenibadilisha mno.
 
La meli,nyumba. 2015.walimchagua hizo scandales zilikuwepo. Suala la Nyumba Sumaye alisema lilikuwa wazo la Sumaye na Mkapa.
Ni kama wanachotaka kukifanya sasa,ndicho kotakacho kuja kufanyika siku za usoni
 
Kwa membe atachemka ,labla anemshitaki mbowe au mchungaji msigwa au halima mdee au sugu au hashimu rungwe au zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…