nautaka tena
Senior Member
- Jun 29, 2021
- 182
- 213
Mzee uyo Alikiba sio wa kumchukulia poa haweki wazi Mambo yake Kama hao wengine but yupo njema sio kitoto sisi jirani zake ndo tunaonahuu uzi uharo kbs....juma nature ampite jux na ay?!!...huyo kibakuli wenu hafiki mbali tu kwa ay
wenye pesa hpo ni watatu tu
1.mond
2.ay
3.jux
kwa mbali wanaofuata
4.kibakuli
5.prof j
6.lady jaydee ( ingawa kwa sasa hali yke kifedha ni mahututi)
7.harmonize
8.vannyboy
wale wengine uliowataja hawawezi kuwepo hata kwenye list
Mkuu Mpanda nyangobe, mbona haupo katika list hii? Umefeli wapi?Lengo la kila msanii ni kuburudisha hadhira yao kupitia ufundi wao. Walakini, kazi yao lazima ifanane na mapato yao ambayo huamua mtindo wao wa maisha. Tanzania inajulikana kama nyumba ya muziki wa Bongo ambayo huvutia umati wa mashabiki kote ukanda wa Afrika Mashariki.
Aina hiyo pia imeona wasanii anuwai wakijipatia umaarufu na kujikusanyia utajiri. Wasanii wa muziki wa Tanzania wameonyeshwa kwenye uwanja wa kimataifa kwa ubora wa nyimbo wanazotengeneza.
Umaarufu wao umewapata sifa, tuzo, na pesa kwa kiwango sawa. Orodha ya wanamuziki tajiri nchini Tanzania pia ingeweza kutafsiri kwa watayarishaji wakubwa wa muziki nchini kupitia lebo zao za rekodi.
Hawa ndio wanamuziki 10 bora wa Tanzania.
1. Diamond Platinumz $ 7 milioni
2. Ali Kiba $ 4.5 milioni
3. Profesa Jay $ 3 milioni
4. Lady Jaydee $ 2.4 milioni
5. Juma Nature $ 1.5 milioni
6. AY $ 1.3 milioni
7. Harmonize $ 1.2 milioni
8. Vanessa Mdee $ 1 milioni
9. Rayvanny $ 0.9 milioni
10. Juma Jux $ 0.6 milioni
NB : hizi siyo hela cash benki Bali ni jumla ya assets kama: Nyumba, Magari, Biashara, Viwanja na Aina nyingine yeyote ya uwekezaji
Hatoboi 2 billion wakati anatembelea gari ya billion 1! Parking yake tu ukiunga inafika billion mbili na uchafu!au mond 7 bln anazitoa wapi??!
yaani tukichukua cheni,saa za almas rolls royce na ni iphone 13 mpya hatoboi 2bln[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwa kuwa analiwa ndogo mombasa na yule tajiri hilo swezi shangaaMzee uyo Alikiba sio wa kumchukulia poa haweki wazi Mambo yake Kama hao wengine but yupo njema sio kitoto sisi jirani zake ndo tunaona
KAANZISHE UZI UNAOHUSIANA NA PESA NAZOMILIKI MIMI NITAKUJA KUKUPA DETAIL ZOTE
Sawa nitakutagKAANZISHE UZI UNAOHUSIANA NA PESA NAZOMILIKI MIMI NITAKUJA KUKUPA DETAIL ZOTE
Hahaha uko kama mimi kwa kustaajab[emoji23][emoji23][emoji38]Hivi jomba unaijua dola milioni saba ni sh ngapi kwa ela za madafu.
Hata 1b hana[emoji848]mondi mwenye 2 hafiki labda na chawa wake tuwaweke huko kama assets.
Hata 1b hana[emoji848]
Eti gari ya 1b[emoji849][emoji849]Hatoboi 2 billion wakati anatembelea gari ya billion 1! Parking yake tu ukiunga inafika billion mbili na uchafu!
Utawajua wakiumwa au wakipata matatizo ya kifedha full kuzungusha bakuli matonya akasubiri...tuko nao kitaa tunawaonatunachezeana akili tu,amini nakwambia mama.
1b ni hela ndefu mno kwa hawa ndugu zetu.
Mmhh yeye ndiyo anapenda ndogo ila za wanawake tu siyo za wanaume wenzie. Yeye kama yeye hageuzwi ila OD ndiyo alikuwaga anageuzwa na huyo tajiri unayemzungumzia hadi kuzawadiwa lile RR.Kwa kuwa analiwa ndogo mombasa na yule tajiri hilo swezi shangaa
Ahaaaahaaahaaa[emoji38][emoji38][emoji38]Hata kama amiliki chochote ila uongo wa kitoto pelekeni kwa watoto wa chekechea watu wanaombaomba bia halafu eti ana utajili wa dola milioni
[emoji38][emoji38][emoji38] hizo Costa zake vip?Hapo kwa jumanature hapo .....yan maisha yake yanampinga ....kwa wanaoishi mbagala watakua waelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utawajua wakiumwa au wakipata matatizo ya kifedha full kuzungusha bakuli matonya akasubiri...tuko nao kitaa tunawaona
Huko mkoan ndo wanatishika nao