Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

Mbona juma kassim anaela tuu sema maisha yake yanakufanyeni msimuamini jamaa miaka hio alikua na vilikuu na Costa nyingi tu Sasa amepanda Ana semi na mijengo kipindi anavuma aliku anakimbizana na jaydee juma alikua na 500m networth
 
huu uzi uharo kbs....juma nature ampite jux na ay?!!...huyo kibakuli wenu hafiki mbali tu kwa ay

wenye pesa hpo ni watatu tu

1.mond
2.ay
3.jux

kwa mbali wanaofuata

4.kibakuli
5.prof j
6.lady jaydee ( ingawa kwa sasa hali yke kifedha ni mahututi)
7.harmonize
8.vannyboy

wale wengine uliowataja hawawezi kuwepo hata kwenye list
Mzee uyo Alikiba sio wa kumchukulia poa haweki wazi Mambo yake Kama hao wengine but yupo njema sio kitoto sisi jirani zake ndo tunaona
 
Lengo la kila msanii ni kuburudisha hadhira yao kupitia ufundi wao. Walakini, kazi yao lazima ifanane na mapato yao ambayo huamua mtindo wao wa maisha. Tanzania inajulikana kama nyumba ya muziki wa Bongo ambayo huvutia umati wa mashabiki kote ukanda wa Afrika Mashariki.

Aina hiyo pia imeona wasanii anuwai wakijipatia umaarufu na kujikusanyia utajiri. Wasanii wa muziki wa Tanzania wameonyeshwa kwenye uwanja wa kimataifa kwa ubora wa nyimbo wanazotengeneza.

Umaarufu wao umewapata sifa, tuzo, na pesa kwa kiwango sawa. Orodha ya wanamuziki tajiri nchini Tanzania pia ingeweza kutafsiri kwa watayarishaji wakubwa wa muziki nchini kupitia lebo zao za rekodi.

Hawa ndio wanamuziki 10 bora wa Tanzania.

1. Diamond Platinumz $ 7 milioni
2. Ali Kiba $ 4.5 milioni
3. Profesa Jay $ 3 milioni
4. Lady Jaydee $ 2.4 milioni
5. Juma Nature $ 1.5 milioni
6. AY $ 1.3 milioni
7. Harmonize $ 1.2 milioni
8. Vanessa Mdee $ 1 milioni
9. Rayvanny $ 0.9 milioni
10. Juma Jux $ 0.6 milioni

NB : hizi siyo hela cash benki Bali ni jumla ya assets kama: Nyumba, Magari, Biashara, Viwanja na Aina nyingine yeyote ya uwekezaji
Mkuu Mpanda nyangobe, mbona haupo katika list hii? Umefeli wapi?
 
Mzee uyo Alikiba sio wa kumchukulia poa haweki wazi Mambo yake Kama hao wengine but yupo njema sio kitoto sisi jirani zake ndo tunaona
Kwa kuwa analiwa ndogo mombasa na yule tajiri hilo swezi shangaa
 
Hatoboi 2 billion wakati anatembelea gari ya billion 1! Parking yake tu ukiunga inafika billion mbili na uchafu!
Eti gari ya 1b[emoji849][emoji849]
Kwa ule mtumba uliokuwa na matairi vipara, aliouziwa na wahindi Koko hapo posta...akaufunga na manailoni akausweka kwenye likontena lichovu badae akaita kamera contena likafunguliwa kufuli mkarushiwa mipicha na mivideo mwaaaah?[emoji849][emoji849][emoji848]

If that so oh yeah 1b my a$$
 
Kwa kuwa analiwa ndogo mombasa na yule tajiri hilo swezi shangaa
Mmhh yeye ndiyo anapenda ndogo ila za wanawake tu siyo za wanaume wenzie. Yeye kama yeye hageuzwi ila OD ndiyo alikuwaga anageuzwa na huyo tajiri unayemzungumzia hadi kuzawadiwa lile RR.
 
Hata kama amiliki chochote ila uongo wa kitoto pelekeni kwa watoto wa chekechea watu wanaombaomba bia halafu eti ana utajili wa dola milioni
Ahaaaahaaahaaa[emoji38][emoji38][emoji38]

Watu wa mikoani ndo wanatishika nao, ambao tuko nao kitaa tunacheka hiihiiii
 
Hapo kwa jumanature hapo .....yan maisha yake yanampinga ....kwa wanaoishi mbagala watakua waelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38] hizo Costa zake vip?
 
Utawajua wakiumwa au wakipata matatizo ya kifedha full kuzungusha bakuli matonya akasubiri...tuko nao kitaa tunawaona

Huko mkoan ndo wanatishika nao

amini nakwambia mama angu,hawa ni wasanii kweli kweli.
ndio maana wengine hawataki maigizo ya kipuuzi wanaonekana wanaringa.
 
Back
Top Bottom