Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

Baada ya huu wizi wakaenda kuapishwa wameshika Biblia na Quran. Haya mashetani ni hatari sana.
Yale ni majalada tuu ndani hakuna mistari.
Nasema hivi maana sijawahi ona wakifungua hata mstari mmoja wa ndani
 
Tz vyombo vya dora wajidhalilisha Sana,
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaa! Nimecheka sana hii comment. Wapo peke yao halafu wanahangaika kufutika karatasi za kura badala ya kufunua tu mfuniko
Huku mtaani wakiitisha mikutano watu hawaendi maana siyo uongozi shirikishi Mimi nauita uongozi pandikizi
 
Duniani - Afrika - Tanzania - mkoani kwenu - Wilayani kwenu - kijijini kwenu.

Sehemu zote hizo mwanasiasa hajawahi kusaidia lolote au kufanya lolote jema kwa ajili yako wazazi wako hawakupanda jukwaani kuomba Chakula Bali ulikula, ukasoma, ukawa ulivyo kwa sababu ya juhudi za kujishughulisha za wazazi wako hvyo Kama siasa kwako niajira sawa Ila Kama haikuletei chochote My dear friend twende mtaani tukafanye kazi kwa ajili ya kesho yetu.
 
Ninapinga kwa nguvu zote wizi na unyang'anyi wa demokrasia kote duniani.

Ila hapa sidhani kama ni hapa Tanzania.
Wakati wa uchaguzi kipindi hicho kulikuwa hakuna msisitizo wa kuvaa barakoa kama inavyoonekana hapo kwenye clip.
 
Huyo nani nae kachukua video tukio kama hilo, au hakuwa sehemu ya mpango?.
 
Ninapinga kwa nguvu zote wizi na unyang'anyi wa demokrasia kote duniani.

Ila hapa sidhani kama ni hapa Tanzania.
Wakati wa uchaguzi kipindi hicho kulikuwa hakuna msisitizo wa kuvaa barakoa kama inavyoonekana hapo kwenye clip.

Hata kofia ya huyo askari inajieleza kabisa kwamba sio Tanzania!

Sijui huu upumbavu wa kusambaza uwongo utaisha lini!
 
Nawasikitikia sana wale waliolazimisha ushindi wa kishindo ili waonekane wanapendwa na wanakubalika na Wananchi lakini wakafa kabla hawajatubu sijui huko walipo wanamueleza nini Mungu wao.
 
Tulimuonya sana mungu wa wajinga na wapumbavu hakutusikia.
Leo hii kafa kwa aibu.
Kifo kipo ila jamaa kafa kifo cha aibu
 
"Hata wakisusa...*. Kususia uchaguzi ni UPUMBAVU. Werevu ni KUZUIA kwa njia zozote ziwezekanazo 'uchafuzi' usifanyike. Hii ndiyo njia pekee iliyobakia CHADEMA waifanye kama haiwezekani kuwepo Tume Huru ya Uchaguzi.
Huo uwezo wa kuzuia hawana wala hawajawahi kuwa nao.

Kusema wazuie ni kuwapeleka kwenye misukosuko na watawala.
 
Hii nchi wakati wa kupiga kura bora utafte mtoto mzuri ukale mzigo tu maana inakera sana wallah!

Narudia bora ukale hata barmaid kuliko kujisumbua..
Wametufungua macho kwamba uchaguzi mkuu unakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…