Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

1. I am sorry for the inconveniences so caused to you by the unfriendly salute used. Sorry! apology
2. All what you have narrated above boil to one conclusion: if people are not ready to face the wrath of brutal police expect nothing from them in terms of liberation struggle! Nimetoa mfano wa Kenya, wamekufa wengi ndiyo Katiba na adabu vikawa realised from dictators in Kenya!
3. Chadema is not weak, had it been that CDM is weak as you brand it, it would have long ago been erased from the political parties register book!
4. Can you suggest some modalities to be put in place by CDM to lead or let me put it in a harsh language, INCITE those ready to demand their political rights from our rulers?
Kama maelezo yangu juu ya kinachokosekana kwa upande wa CHADEMA yanatafsiriwa au yanaeleweka kwamba "CHADEMA is weak", basi maelezo yangu yatakuwa na upungufu, pengine kwa kukosa njia bora ya kuwasilisha ninayotaka kuyaeleza.
Hapana, siwezi kamwe kusema hapa kwamba chama hicho ni ghoghoi, pamoja na kwamba binafsi mimi siyo mwanachama wala mfuasi wao, ila nacchukulia kwa sasa kuwa ndiyo chama pekee chenye nafasi ya kuiangusha CCM.

Ninapoelezea "udhaifu" wa chama katika mambo kadhaa, sina maana ya 'literal meaninng of " weakness" of the entire party.

The only hope for the party is to become a mass party; it must direct more efforts to work with the community in villages, streets, everywhere where people are found. It must engage individuals, person to person, and some of these individuals are the best opinion leaders, influencers in their communities.

Hili swala la 'ujasiri' au uoga unalolitafsiri kwa kutumia mfano wa Kenya silikubali. Kuna mambo tunayotofautiana sana kati yetu Tanzania na Kenya, lakini sio katika hili swala na ujasiri wa watu wa huko Kenya au uoga wa watu wa Tanzania.
Kuna njia ninayoweza kutafsiri tofauti zetu katika hili, lakini ngoja nitafakari vizuri kabla sijalielezea hapa.

I sincerely accept your apology.
 
U
Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .

Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .

Hebu jionee mwenyewe.

View attachment 1964679

Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Uongo mtupu! Hizo ni picha za kawaida sana kwenye uchaguzi wowote; in fact hiyo picha inaonesha wahusika wakirudisha ballot papers kwenye sanduku la kura au "debe" kama waitavyo jirani zetu baada ya kuzihesabu! Unadhani wangezirudisha humo "debeni" vipi!? Kila mtu anao uwezo na haki ya kuitafsiri picha hiyo kivyovyote! Ukienda na picha hiyo kwa Pilato eti ni ushahidi wa wizi wa kura, atakuuliza maswali hadi ukimbie Mahakama. Let us be serious na nchi yetu isonge mbele.
 
Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .

Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .

Hebu jionee mwenyewe.

View attachment 1964679

Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Chini ya jiwe nchi iligeuzwa mali ya mtu mmoja mwenye mamlaka.
 
Halafu johnthebabtist anasema vyama ya upinzani ni mali ya ccm. Kama kweli ni mali ya ccm mbona hao ccm wanaogopa katiba mpya na tume huru.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Huyo alisha laanika kitambo
 
Haukuwa uchaguzi bali ilikuwa ni kulawiti demokrasia mchana kweupe.
 
Hivi kwa nini tunaapa kwa Mungu Mkuu huku tukijua wazi kamba tumeiba kura au kufanya hila kwenye chaguzi? hii si kujitafutia laana kweli.......
 
Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .

Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .

Hebu jionee mwenyewe.

View attachment 1964679

Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Hilo limepita na 2025 aliyekuwa na miaka 55 mwaka 2020 atakuwa na sitini na dunia inaendelea.Hayawezi kusimama haya mpaka hapo wananchi watakapoamua wenyewe ila kwa sasa Tanzania ni CCM na vyombo vyake.
 
The only hope for the party is to become a mass party; it must direct more efforts to work with the community in villages, streets, everywhere where people are found. It must engage individuals, person to person, and some of these individuals are the best opinion leaders, influencers in their communities.
That is where CHADEMA NI MSINGI came in!
 
That is where CHADEMA NI MSINGI came in!
Now we need to start seeing the fruits of that effort! We need dividends.

It is one thing in trying or attempting to reach the intended people, and another thing whether the intended message was effectively delivered.
There needs to be an assessment and evaluation of the outcomes. That is why it is a tough job being a true and committed politician, let alone the numerous pretenders spread allover the place.

Sina wasiwasi na 'commitments' za viongozi kama Mchungaji Msigwa, akina Henche, Sugu na wengine wengi ndani ya chama chao. Bila shaka huko waliko sasa hivi, pamoja na kuporwa uwakilishi wao wa wananchi bungeni, bila shaka huko waliko wanafanya kazi muhimu sana kimya kimya ya kujijenga chama chao sehemu waliko, pamoja na kwamba hawasikiki mara kwa mara katika vyombo vya habari sasa hivi.
Vinginevyo, hali itaendelea kuwa ngumu, siyo kwa CHADEMA pekee, bali kwetu sote tunaoiitakia mema Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom