Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

Kwa hali hiyo, Magufuli alikuwa lazima afe tu, hakukuwa na namna.

Huwezi ukafanya uhuni na upumbavu mkubwa kama huo kisha eti ubaki unalala na kuamka kila siku.

It's true that great decisions always require great sacrifices.
 
Wewe uliyewarekodi bila ridhaa yao utakwenda jela kwa mujibu wa sheria ya Post and electronic Act, acha kujitafutia balaa eti majina unayo, halafu unayapeleka wapi?
 
Mazingira ya akili za upinzani ni mabovu zaidi. Uchaguzi ni symptoms tuu
Kwa mifumo iliyopo na iliyojengeka nchini kamwe haitatokea chama shindani kuingia madarakani hata kwa miaka 50 ijayo. Never kabisa. Kumbuka jambo tu, "Mkono unaokulisha huwezi kuukata." Hata na wewe naamini huwezi kuukata. Ndio mazingira yaliyojengeka nchi hii.
 
Wewe na mafala wenzio mnazidi kuteseka sababu Mazingira ya akili za upinzani ni mabovu siku zote. Mmekaa tuu kusubiria uchuguzi mwingine mje na lawama zilezile
Lawama sio wapinzani, laumu mfumo uliojengeka katika nchi hii au otherwise kama hautalaumu mfumo wa kimazingira uliopo basi ni dhahiri kwamba wewe pia ni sehemu ya wale wanafurahia mazingira magumu yaliyopo kwa washindani wao halafu mnakuja na vihoja vya kuhalalisha udhaifu unaoonekana kwa wapinzani wakati msababishi mkuu wa hali hiyo ni wewe mwenyewe
 
Hit them up.
Ile 2015 ni usaliti mkubwa kwa wapenda mabadiliko ya kweli.
 
Wewe uliyewarekodi bila ridhaa yao utakwenda jela kwa mujibu wa sheria ya Post and electronic Act, acha kujitafutia balaa eti majina unayo, halafu unayapeleka wapi?
Nampelekea Mungu
 
Wizi wa kishamba ndio unagundua leo,sasa hapo nani ni mshamba zaidi?
 
Vyama pinzani haviwezi shinda sababu havina mtaji tuu basi, hizo zingine ni blah blah


Hakuna mfumo unaoweza kuishinda nguvu ya umma. Tuseme ukweli tuu kwamba wapinzani hawana msingi, maono wala ushawishi
 
Wacha kuzunguka mbuyu ati. Sio kila kitu kinahitaji kutetea. For a second, zungumzia kilichopo kwenye video hapo
Ukweli mnaouchukia ndio faida ya wenzenu

Acha kazi iendelee
 
Wanaodhani Tz kunafanyika Uchaguzi niwape pole.Si Uchaguzi bali ni HADAA na UHUNI mkubwa unaofanyika na genge fulani kulinda madaraka yao kwa maumivu ya umma.Mfumo mzima wa uchaguzi ni uhuni mtupu,na ndio maana vitendo vya kihuni ni kawaida tu maana hata hao waliominiwa ndio wahuni wenyewe.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Huo uwezo wa kuzuia hawana wala hawajawahi kuwa nao.

Kusema wazuie ni kuwapeleka kwenye misukosuko na watawala.
Sasa kumbe unajuwa mkuu kwamba "Kusema wazuie ni kuwapeleka kwenye misukosuko na watawala." Kwa hiyo shida hapo ni ipi?

CHADEMA wanaweza sana kuzuia uchaguzi wowote wa nchi hii kufanyika. Ni swala la kujipanga tu na kutimiza mipango hiyo kwa ufanisi mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…