Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uliyewarekodi bila ridhaa yao utakwenda jela kwa mujibu wa sheria ya Post and electronic Act, acha kujitafutia balaa eti majina unayo, halafu unayapeleka wapi?Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Kwa mifumo iliyopo na iliyojengeka nchini kamwe haitatokea chama shindani kuingia madarakani hata kwa miaka 50 ijayo. Never kabisa. Kumbuka jambo tu, "Mkono unaokulisha huwezi kuukata." Hata na wewe naamini huwezi kuukata. Ndio mazingira yaliyojengeka nchi hii.Mazingira ya akili za upinzani ni mabovu zaidi. Uchaguzi ni symptoms tuu
Lawama sio wapinzani, laumu mfumo uliojengeka katika nchi hii au otherwise kama hautalaumu mfumo wa kimazingira uliopo basi ni dhahiri kwamba wewe pia ni sehemu ya wale wanafurahia mazingira magumu yaliyopo kwa washindani wao halafu mnakuja na vihoja vya kuhalalisha udhaifu unaoonekana kwa wapinzani wakati msababishi mkuu wa hali hiyo ni wewe mwenyeweWewe na mafala wenzio mnazidi kuteseka sababu Mazingira ya akili za upinzani ni mabovu siku zote. Mmekaa tuu kusubiria uchuguzi mwingine mje na lawama zilezile
Hit them up.Unafikiri basi hizo ni siri, huo ni ubabe makusudi kwamba tunafanya hivi na hamtufanyi lolote wala kushtaki popote...
yaani CCM waiogope CHADEMA kabisa? wazee wa kupiga domo mitandaoni huku upo nyuma ya keyboard ume activate premiun vpn...
Kama Zanzibar Seif alifanyiwa kiini macho mpaka US ikaingilia na haikusaidia kitu, ndugu zangu siasa hazitowasaidia chochote, mmekwisha kwenda kushtaki hadi kwa mabeberu lakini hakuna matokeo yeyote... huwa naamini kwamba hii nchi wananchi ndio wataamua nchi iende kulia ama kushoto, hii nchi nyie CHADEMA hamtofanya lolote, zaidi bungeni mmetolewa almost wote, mmebaki kulia tu twitter na mitandaoni...
Hili taifa ni wananchi ndio watakuwa na mustakabali taifa liende wapi, tamaa zenu za fisi kumkaribisha Lowassa, wananchi wakaona hamueleweki kama sigara nyota...
CHADEMA mmekwisha, Mbowe mungu amsaidie ashinde hio kesi, yaani mmekwisha ndugu zangu hamna jipya..., mwenzenu mzee Slaa anakula huko mema ya nchi..., yule dada enu Mdee kawageuka chap..
uzuri mie sipo CCM wala CHADEMA, mie nawapa tu ukweli mchungu...
Kampeni zenu zenyewe watu walikuwa wana stream youtube na hamkufanya lolote, hakuna hata TV moja ilikuwa inaonyesha kampeni zenu, lakini wadau mmekomaa tu,katibaaaa!!!! katibaaaa!!!, tunaibiwaaa, tunaibiwaaaa, tunaibiwaaa, kila siku nyimbo ni zile zile...
Nyie komaeni tu muendelee kufukuzia hizo ruzuku, mpate hata pesa za kuweka mafuta kwenye gari... niipofika hapa niendelee tu mishe zangu hizi siasa wengine wanafanya kama hobby lakini sio userious wa kuleta mabadiliko ya kweli...
nakaribisha matusi...
Nampelekea MunguWewe uliyewarekodi bila ridhaa yao utakwenda jela kwa mujibu wa sheria ya Post and electronic Act, acha kujitafutia balaa eti majina unayo, halafu unayapeleka wapi?
TumerekodiHaya mshajua kwahiyo?
Hapo sawaNampelekea Mungu
Oooh,sawa!Tumerekodi
Jibwa koko.Mungu mkubwa, Ndio maana ile Mbwa iliondoka
Wizi wa kishamba ndio unagundua leo,sasa hapo nani ni mshamba zaidi?Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Uwezo wao wa kufikirikiri ulilishia hapoAhaaaaaaaaaaaaaaaa! Nimecheka sana hii comment. Wapo peke yao halafu wanahangaika kufutika karatasi za kura badala ya kufunua tu mfuniko
Vyama pinzani haviwezi shinda sababu havina mtaji tuu basi, hizo zingine ni blah blahKwa mifumo iliyopo na iliyojengeka nchini kamwe haitatokea chama shindani kuingia madarakani hata kwa miaka 50 ijayo. Never kabisa. Kumbuka jambo tu, "Mkono unaokulisha huwezi kuukata." Hata na wewe naamini huwezi kuukata. Ndio mazingira yaliyojengeka nchi hii.
Hakuna mfumo unaoweza kuishinda nguvu ya umma. Tuseme ukweli tuu kwamba wapinzani hawana msingi, maono wala ushawishiLawama sio wapinzani, laumu mfumo uliojengeka katika nchi hii au otherwise kama hautalaumu mfumo wa kimazingira uliopo basi ni dhahiri kwamba wewe pia ni sehemu ya wale wanafurahia mazingira magumu yaliyopo kwa washindani wao halafu mnakuja na vihoja vya kuhalalisha udhaifu unaoonekana kwa wapinzani wakati msababishi mkuu wa hali hiyo ni wewe mwenyewe
Tumeshazoea hizo habari ajabu kila chaguzi mnashiriki baadae maneno hayo hayo hivyo hivyo kila mwaka hii ni kama ile hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi
Ukweli mnaouchukia ndio faida ya wenzenuWacha kuzunguka mbuyu ati. Sio kila kitu kinahitaji kutetea. For a second, zungumzia kilichopo kwenye video hapo
Sasa kumbe unajuwa mkuu kwamba "Kusema wazuie ni kuwapeleka kwenye misukosuko na watawala." Kwa hiyo shida hapo ni ipi?Huo uwezo wa kuzuia hawana wala hawajawahi kuwa nao.
Kusema wazuie ni kuwapeleka kwenye misukosuko na watawala.