Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Status
Not open for further replies.
Yaani umekuwa na akili ya ghafla sana kama Mimi nilivyofikiria. Yawezekana kapotezwa. Labda huyu in ndugu kaja humu kuweka mambo wazi. Time will tell
Mnajisumbua kutafuta mfu. Huyu anaweza kuwa kwenye vile viroba vinavyokutwa na miili ya watu.
 
Siku hizi geshi ra porisi .. ni siasa kwa kwenda mbele..!

Kitu cha kuwaumbua huwa wanakifanyia siasa, halafu wana fikiri wa tz wote ni mambumbu..!

Nasari kawaumbua mchana kweupe, je hili nalo lililofanyika kweupe juani, walitegemea kuwa hatuoni!
 
Haro wewe kijana acha uchochezi,tumeshasema ametoroka atumjui.Ova!
 
Kwa hiyo Sirro ni upuuzi gani uliouliza jana!? Kumbe unaye wewe na Bashite!! Conclusion: Bashite na huyo Henri ndio wauaji wa Tundu lissu
 
jf ndio iliibua kashfa ya Richmond iliyopelekea kuanguka baraza la mawaziri, sijui kwa trend hii kuna lingine inataka kutuletea au ndio amri ya kuifunga inapoanzia!?
Lililo wazi ni kwamba kama kunaaliyekuwa hajaijua hii dunia basi ukweli ni kwamba ni ndogo sana.
 
Kumbuka Nape alisema,"watu ni wale wale,idadi ni ile ile na gari ni hilo hilo" JIONGEZE
 
KAMANDA sirro aache unafiki na kudanganya umma tukio hili analijua vyema na waliolipanga akiwemo Bashite wote anawajua. Anataka kutuletea hadithi ya nabii Nathan aliyetumwa na mungu kwenda kwa mfalme Daud kumpa vipande baada ya kuchukua mke wa Yoab ( kifupi Mfalme Daud baada ya kupewa hadithi ya mfano akajibu "mtu huyo auawe" nabii Nathan akamjibu "mtu huyo ni wewe"
 
Makonda na Sirro wasaidie jeshi la Polisi kuwatambua HERRY KISANDU NA DANIEL MASIMBUSI

My take:Ujanja bila ELIMU kichwani ni bure hata kama mkuu anakupenda vipi.
Sasa hao walioambiwa waige kwa Paul Makonda wajiulize waige nini kutoka kwake??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…