Aisee, nimeamini ujinga/ubovu wa Taasisi Fulani unaonekana dhahiri kupitia kwa Viongozi husika.
Kamanda Sirro badilikeni, dunia ya hivi sasa siyo ya kukurupuka kuongea ujisikiavyo. Bora ukae kimya kwa muda mambo yaongelewe yatapita tu kama mkuu wako uliyekuwa unapingana nae kuhusu Masisha hapo dar kabla hujawa Ze Big Boss wa Manjagu.
Rais wangu, yakupaswa utafakari zaidi na zaidi kwa wasaidizi wako, wengi haswa walioko katika majiji wamekuwa mizigo kwako japo unawabeba kwa kila ambalo halistahili. Wapumzishe watafutie kazi zingine maana wanakutia aibu kila kukicha.
Endesha mambo kiuweledi zaidi kuliko hisia. Kaa ukijua mambo mazuri hayaji bila fikra kinzani.
Ubora wa Mzee wa Msoga unathibitishwa na Mzee wa Chato.