Sisi tumemuelewa lakini, after all kimekuja na Meli hichooo ndiyo maana Jenerali Ulimwengu ameshauri kuokoa elimu yetu vijana wafundishwe kwa kimatumbi mpaka University...are they stupidity or stupid?
Ili alainike na kuwa tayari kutoa ushahidi wa magumashi...Walikua na haja gani ya kumtesa Kama Ni shahidi upande wa Jamhuri?
Kwa jinsi wa muonekano wa picha jamaa hayuko hai ni marehemu
Wazee wa kutesa.Ili alainike na kuwa tayari kutoa ushahidi wa magumashi...
Nakuhakikishia jamaa ameshafariki,kwajinsi anavyoonekana kwenye picha nuru hanaSirro awajibishwe kumleta Lijenje akiwa hai.
Sirro anawafahamu wasiojulikana. Kumbe wasiojulikana walikuwa chini yake.
Nakuhakikishia jamaa ameshafariki,kwajinsi anavyoonekana kwenye picha nuru hana
Mbona umeedit 🤔
Kumbe hajapatikana mpaka leo?Kuna Yule Mkuu Wa Kituo Cha Chamwino Mpaka Kesho Kimya Ndugu Zake Wanahaha Police Inajibu Mtoro Kazini
Siasa za CCM ndio zimeharibu kila kitu,uzalendo wa kweli unakwenda unaisha na kubaki uzarendo bandiaHi issue inashangaza sana yaani ni udhalilishaji wa ajabu sana kisa chadema
Unaonaje tuikianzisha #hash tag ya #BringbackLijenje
Urio naye naona WALIKWISHA MTUPA, haya mapolisi ya CCM yamejaa laana sana.Tuko pamoja. Sirro asikie popote alipo. Tutawahitaji Lijenje na Luteni Urio wakiwa hai.
Hapo ni kwa kuanzia.
Tmewavumilia ya kutosha. Kama vipi tuuweni wote.
Hawa jamaa ni wanajeshi wastaafu na walikuwa mtaani wanaendesha maisha yao. Mbowe alikuwa anatafuta walinzi/body guards ndiyo kuna jamaa (naye mwana jeshi) akawainganisha na Mbowe. Kilichofuata hawa jamaa wakadakwa mwaka jana na mwaka huu Mbowe akaiunganishwa nao.Nadhani sijafatilia kwa undani naomba Kama Kuna anayeweza kunisaidia ilikuwaje Hawa wanajeshi Mpaka wakaunganishwa kwenye kesi ya mbowe, na je ilikuwaje mbowe akawa karibu na wanajeshi wakati wanajeshi inasemekana hawatakiwi kuwa na Chama chochote Cha siasa.
Je kesi ya mbowe kesi yake msingi wake ni upi tafadhali ( naomba nifahamishwe bila kujali kama anaonewa au hapana)
Urio naye naona WALIKWISHA MTUPA, haya mapolisi ya CCM yamejaa laana sana.
Muda si mrefu yale yaliyotokea Mbeya yatajirudia, lazima zichapwe.Hii kesi itachochea chuki kati ya vitenge na khaki. Waifute tuu haina maana.
Sent using Jamii Forums mobile app