Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Jana kama tungeruhusiwa kufanya mazoezi pale kwa Mkapa hakyamungu naapa juma pili msingeamka majumbani mwenu na jumatatu msingeenda kazini, sisi sio wajinga wajinga kama mnavyodhania, kama tungekubali kuingia kucheza leo tukiwa tumezuiwa kufanya mazoezi tungekula magoli ya kutosha leo, sisi tulijiandaa mwanzo mwisho kuwaonyesheni nyie Yanga kuwa sisi mpira tunajua na mnayofanya yote tunayajua.
Tulishangaa sana watu wako kwenye maandalizi huku Rais wa Yanga akiwa kwenye mechi ya kombe la Samia Cup, tulijua yeye anajifanya hajui kumbe anafatilia matukio yote, kama Yanga wana timu nzuri na wana ubavu Kwann wao wachezee uwanja na kufanya mambo yao halafu sisi tukae kinyonge twende uwanjani kifala fala.
Simba na Yanga Zina utamaduni wake, mitego yote tulifyatua ilibakia uwanjani tu ambako mliweka mambo yenu.
Kama tulibeba Mbuzi tuonesheni hiyo picha ya mbuzi, Manara anasema tulibeba mbilikimo awaonyeshe maana tang saa 12 had saa 2 usiku Simba ilikuwa nje ya uwanja, mbuzi wasionekane mbilikimo wasionekane, ungese mtupu