Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

Elimu za chuo kikuu za kuzuia haki za wengine?
Kuziba barabara. Kuziba njia za waenda kwa miguu. Kuziba mitaro. Kuziba biashara za wengine. Basi huko chuo kikuu walienda kusomea ujinga. Wapambane na hali zao.
Unajiona umeandika kitu Cha maana.....Sema tu MUNGU sio mwanadamu

Watu kama nyie mkipewa nafasi mbona watu watakoma....

Nimesoma aina ya uchangiaji wako kweny thread mbalimbali.....Nimegundua wew ni mtu wa type gani...... So hunisumbui

Alie andika unakuta ni KKB yaani KULA KULALA BURE (KKB) Au LUMUMBA BUKU 7

Na kichwani mwa KKB Au LUMUMBA BUKU 7 Huwezi pata Cha maana mpaka yamkute.....

Si itaji debate na wewe fanya kama hujasoma maoni yangu....
 
Mkakae maeneo rasmi mliyotengewa
 
1.wakulima wametafutiwa mashamba na serikali?

2.walio ajiriwa sekta binafsi wametafutiwa kazi na serikali?

3.mafundi ujenzi na vibarua mbalimbali wametafutiwa kazi na serikali?

4.Ninyi ni akina nani mnaojiliza na kudhani kuwa ni haki yenu serikali iwatafutie sehemu ya kuuzia bidhaa zenu?

5. Road reserve mmevamia na mpaka baadhi ya barabara zilizojegwa kwa garama kubwa mmeziharibu uwezo wa kupanga frem mnao lakini mnajitoa ufahamu
 
Yuko wapi Ezekia Dibogo Wenje yule ndo anajua kuwapanga machinga wa Mwanza.
 
Acha siasa za "inadaiwa"" huu siyo wakati wake njoo na taarifa sahihi
 
Umeambiwa ukweli acha kuvimbisha matako
 
Full stop ataekatiza barabarani atachakazwa
 
Ifike mahali tuheshimu mamlaka. Maeneo yote mnayoyaona ni ni mazuri kwa kufanyia biashara, serikali haikutengeneza kwa ajili ya kufanyia biashara. Barabara zimejengwa ili vyombo vya moto vipite humo pia kuna njia za waenda kwa miguu kwa ajili yetu watembeaji.
Lakini kwa sasa ukiangalia ile barabara ya Nyerere na eneo lote la stendi ya Makoroboi mmezagaa hovyohovyo kabisa. Hakuna nafasi ya kupita mwananchi.
Pia biashara mnazofanya ni kubwa sana tofauti na uhalisia wa neno Mmachinga. Kiatu unakiuza kwa shilinga 45,000 na pale chini umeweka viatu kama Pair 100 hivi. Je wewe pia unataka undelee kuitwa mmachinga? Serikali ikikufata ulipe kodi, utapiga chenga tu kwa sababu lile eneo sio permanent, hivyo unaweza hamisha kijiwe.
Lakini ukienda sehemu maalumu iliyowekwa kwa ajili yenu, inakua rahisi hata ufatiliaji wa Kodi.
Kuna wafanya biashara wakubwa wa vyombo vya ndani, nguo na viatu wameweka biashara njiani, njiq hazipitiki. Tunaomba msitupe kazi kubwa ya kuwaondoa.
 
Hawa vijana hawana akili.
Waliuza utu wao kwa sahani ya ubwabwa na buku 5.
Magufuli angekuwa anakubalika asingegawa pesa kwa ma VEO ilo kuwahonga wananchi wanaomkubali.
 
Kwan leo liniii na naendelea kuuza dagaa zangu hapa town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…